Kampuni za kusaga mahindi zasitisha shughuli zao

Na BARNABAS BII KAMPUNI za kusaga mahindi katika maeneo ya Magharibi na Kati mwa Kenya, zimelazimika kusitisha operesheni zao kufuatia...

Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kianganga, Mitero, Gatundu Kaskazini wanalalamikia upungufu mahindi katika mashamba...

Wakulima sasa wauza mahindi yao nje ya nchi

Na BARNABAS BII WAKULIMA katika eneo la North Rift sasa wanauza mahindi yao katika mataifa ya Sudan Kusini, Kaskazini mwa Uganda na...

Mavuno ya mahindi kupungua – utafiti

Na BARNABAS BII WAKULIMA wa mahindi na wataalamu wa Kilimo katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa, wameeleza wasiwasi wa kupata mazao...

Wasiwasi wakulima wa mahindi kugeukia miwa

Na BARNABAS BII HATUA ya wakazi wa maeneo ambayo hufahamika sana kwa ukuzaji wa mahindi katika kaunti za Trans-Nzoia, Uasin Gishu na...

Afueni kwa familia mahindi kushuka bei

Na BARNABAS BII HUKU wakulima wakiendelea kuumia kutokana na bei duni ya mahindi Kaskazini mwa Bonde la Ufa, raia na wafanyabiashara...

Wakulima 12,000 Kwale wafaidika na mashine za kupukuchua mahindi

Na MISHI GONGO WAKULIMA 12,000 katika Kaunti ya Kwale wamefaidika na mashine za kupukuchua mahindi na miche iliyoboreshwa zilizotolewa...

Apigwa mawe hadi kifo kwa kuiba mahindi

NA ALEX NJERU Wakazi waliokuwa na ghadhabu walimvamia na kumuua mwanamume wa miaka 30 kwa kusemekana kuiba mahindi mabichi katika shamba...

Afueni kwa wakulima ujenzi wa kiwanda cha unga ukikamilika

ONYANGO K'ONYANGO na BARNABAS BII WAKULIMA wa mahindi katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa wanatarajiwa kupata afueni kufuatia...

Bei ya unga wa mahindi yapanda

Na SAMMY WAWERU WALAJI wa ugali hawana budi ila kuugharimia zaidi kufuatia mfumkobei wa bidhaa muhimu ambayo ni unga wa...

Bei ya unga yapanda uhaba wa mahindi ukizidi

BARNABAS BII Na ONYANGO K'ONYANGO WAMILIKI viwanda vya unga wa mahindi katika eneo la Magharibi, wamesitisha shughuli na kuwafuta kazi...

Weta apinga mpango kununua mahindi nje

Na DENNIS LUBANGA KIONGOZI wa chama cha Ford Kenya Moses Wetang'ula, amekashifu mpango wa serikali wa kununua mahindi kutoka nje ya...