DINI: Katika hali zote zinazokupata kumbuka kila kitu hutendeka kwa kusudi la Mungu

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA YANAYOKUPATA unayapokeaje? Ukipata mateso ni asilimia kumi, unavyoyapokea ni asilimia tisini....

DINI: Hakuna majira wala hali inayodumu milele, weka matumaini kwa Mungu

Na WYCLIFF OTIENO JANE alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume. Ndoto yake ya kupata mtoto wa tatu, na haswa wa kike ilikatizwa...

DINI: Kuna njaa za aina nyingi ila zipo za lazima zinazohitaji Mungu pekee

Na FAUSTIN KAMUGISHA NJAA zetu ni za aina nyingi. Tuna njaa ya Mungu. Tuna njaa ya kujua maana. Tuna njaa ya kueleweka. Tuna njaa ya...

DINI: Muda hauna rafiki, ukipotea haufufuki, utumie vizuri kujiendeleza kimaisha

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA SAUTI ya muda inasema, ‘muda sio rafiki.’ Muda sio kwamba unakimbia tu bali una mabawa, unapaa. Hivyo...

DINI: Tunapoishi na wenzetu tuachiane alama za moyoni, yaani tugusane kwa matendo mema

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA UNAPOKUTANA na watu huwa wanakupima kichwa chako lakini unapoondoka wao hupima moyo wako. Unapokutana na...

DINI: Msalaba ndio siri ya mafanikio; hakuna utukufu bila mahangaiko

Na FAUSTIN KAMUGISHA UKINYOOSHA mikono yako upandeni unakuwa na sura ya msalaba. Sura ya binadamu ni sura ya msalaba. Kichwani hadi...

DINI: Siku njema huonekana asubuhi, ijaze dua na kuichangamkia kwa furaha

Na FAUSTIN KAMUGISHA SIKU njema huonekana asubuhi, ni methali ya Kiswahili. Atakayekula vizuri chakula anatambulika wakati wa kunawa...

DINI: Ukitaka kuvunja rekodi lazima uwe na maono na imani kuwa utafaulu

Na FAUSTIN KAMUGISHA KUNA baadhi ya watu wanapopata matatizo wanavunjika moyo, wengine wanavunja rekodi. Kuwa na maono ya kuvunja...

DINI: Mungu akupenda kama kwamba ni wewe pekee uliye duniani kote

Na FAUSTIN KAMUGISHA MKAZI mmoja alimuuliza msomi Leith Anderson: “Kama ungetamka sentensi moja kwa umati wa watu wa ulimwengu,...

DINI: Watu wanapokutazama husema wewe ni Mkristo wa aina gani, mtoaji ama mlaji?

Na FAUSTIN KAMUGISHA MKRISTO hapaswi kuwa anayeambiwa juu ya Yesu, bali anayemjua Yesu binafsi; anamtambua Yesu, anamtembelea Yesu,...

DINI: Endapo ya jana ni ya kukutamausha, usitazame nyuma

Na FAUSTIN KAMUGISHA MATENDO bila dira ni kupitisha muda tu. Dira bila matendo ni ndoto za mchana, lakini dira pamoja na matendo...

DINI: Kupanga ni kuumaliza mwaka kabla hujauanza, panga makuu

Na FAUSTIN KAMUGISHA KUPANGA ni kuvuka daraja kabla ya kulipita. Kupanga ni kukata kanzu kabla mtoto hajazaliwa. Kupanga ni...