IEBC: Wanaovuna bila jasho

BENSON MATHEKA na SAM KIPLAGAT MAKAMISHNA watatu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) waliotangaza kujiuzulu Aprili wanaendelea...

Makamishna wamtoroka Chebukati wakisema ameshindwa na kazi

Na JUMA NAMLOLA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati Jumatatu ametorokwa na makamishna watatu wa tume...