Uhuru akaa ngumu majaji wakilia

RICHARD MUNGUTI na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta ameonyesha kilele cha upuuzaji wa sheria na katiba inayomtaka kuwateua majaji bila...

LSK yataka majaji wapya kabla 2021

Na CHARLES WANYORO CHAMA cha Wanasheria Nchini (LSK) sasa kinataka mchakato wa kuteua Jaji Mkuu mpya usitishwe.Badala yake LSK inataka...

Mahakama yaombwa iapishe majaji 41

Na RICHARD MUNGUTI MWANAHARAKATI Adrian Kamotho Njenga, anaomba Mahakama Kuu imruhusu Jaji Mkuu David Maraga kuwaapisha majaji 41...

Rais aagizwa na mahakama aapishe majaji walioteliwa

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu umemwamuru Rais Uhuru Kenyatta kuwaapisha majaji 41 walioteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC)...

Majaji 5 wahamishwa

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu (CJ) amewahamisha majaji watano wa mahakama kuu miongoni mwao Jaji Enock Chacha Mwita. Jaji Mwita...

#JudiciaryForTheRich: Mahakama yashambuliwa kwa kuwanyima haki maskini

Na BENSON MATHEKA WAKENYA Jumatano walishambulia idara ya Mahakama mtandaoni wakidai inabagua masikini na kupendelea kuamua kesi za...

Majaji wakuu Afrika Mashariki waungana kuimarisha haki

Na BENSON MATHEKA MAJAJI wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wamekubali kushirikiana ili kuimarisha mfumo wa utoaji...

Maraga amkemea Matiang’i kuita majaji ‘wakora’

Na CHARLES WASONGA JAJI Mkuu David Maraga Alhamisi alimshambulia Waziri wa Usalama Fred Matiang'i kwa madai yake kwamba "genge la majaji...

TAHARIRI: Malipo ya juu mahakamani yataua demokrasia

[caption id="attachment_1315" align="aligncenter" width="800"] Bi Wavinya Ndeti aliyewasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Gavana wa...