Wakurugenzi wapya wa KTDA hawajaanza kazi

Na VITALIS KIMUTAI WAKURUGENZI wapya wa Shirika la Ustawi wa Majanichai (KTDA) katika viwanda vilivyo kusini mwa Bonde la Ufa,...

Sheria mpya ya majani chai iidhinishwe haraka – Wakulima

Na CHARLES WASONGA WAKULIMA wa majani chai wamepata zawadi ya Krismasi baada ya maseneta kupitisha mswada utakaoleta mageuzi...

Sekta ya chai kupigwa jekiseneti ikipitisha mswada

Na CHARLES WASONGA BUNGE la seneti Jumatatu litafanya kikao maalum kujadili Mswada mpya wa sekta ya Chai ambao unasheheni mapendekezo...

Mswada wa kuboresha kilimo cha majanichai washabikiwa na wengi

Na LAWRENCE ONGARO MSWADA wa kuboresha zao la majani chai ulipongezwa na wengi huku mbunge wa Thika Bw Patrick 'Jungle" Wainaina akisema...

Uvumi majani chai yanaponya corona wasisimua Pwani

Na MISHI GONGO WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya Pwani jana waliamkia kunywa chai bila maziwa na sukari kabla ya jua kuchomoza, kwa imani...

Mswada wapendekeza halmashauri mpya kusimamia sekta ya majani chai

Na CHARLES WASONGA SEKTA ya majani chai nchini itaongozwa na halmashauri mpya ambayo itatekeleza mageuzi yanayolenga kuwezesha wakulima...

Wabunge watisha kutimua Munya na Kiunjuri kuhusu bonasi

Na CHARLES WASONGA WABUNGE 21 kutoka maeneo ya Mlima Kenya na Rift Valley wametisha kuwasilisha hoja ya kuwaondoa afisini mawaziri...

Wakulima wang’oa michai kwa sababu ya bonasi duni

NA VITALIS KIMUTAI WAKULIMA wa majani chai katika Kaunti ya Bomet wameanza kung’oa mimea hiyo kutokana na hasara waliyopata kutoka kwa...

Gavana anyakwa kwa kung’oa majani chai

TOM MATOKE na RUSHDIE OUDIA GAVANA wa Nandi Stephen Sang', Jumatatu alibebwa hobelahobela na kusukumwa kwenye gari la polisi kutokana na...

Kampuni za majani chai kuanza kutozwa ada mpya

TOM MATOKE na BARNABAS BII KAMPUNI za kimataifa za majani chai nchini zitahitajika kulipa karibu Sh10,000 kwa kila ekari ya ardhi kila...

Njama ya kuuza kampuni za majani chai kisiri yaanikwa

BARNABAS BII na TOM MATOKE VIONGOZI katika maeneo yanayotegemea kilimo cha majani chai Rift Valley, wamedai kuna njama ya watu fulani...

Unilever Tea Kenya yasisitiza kuweka ua wa stima kuzima wezi

Na ANITA CHEPKOECH KAMPUNI ya Unilever Tea Kenya imetetea uamuzi wake wa kuweka ua wa kulinda mashamba yake pana ya majani chai eneo la...