Hatimaye Bomet yauza majanichai Iran

Na VITALIS KIMUTAI GAVANA wa Bomet Hillary Barchok hatimaye jana aliongoza maafisa wa Kaunti hiyo kuuza tani 84 za majanichai moja kwa...

Wakulima wa chai kulipwa bonasi ya juu mwaka ujao

Na DERICK LUVEGA WAKULIMA wa majanichai sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya Waziri wa Kilimo Peter Munya kutangaza kuwa...

Mashine zapokonya wachunaji majanichai kazi

TOM MATOKE na BARNABAS BII MAELFU wa wafanyakazi katika sekta ya majanichai wapo hatarini kupoteza kazi zao, baada ya kampuni nyingi...

Bei ya chai sasa yapanda kanuni mpya zikianza kuzaa matunda

Na ANITA CHEPKOECH MAUZO ya chai katika mnada wa Mombasa yameimarika hadi kiwango cha asilimia 87, baada ya kudorora kwa muda...

Bei ya majanichai imepungua kwa asilimia 12 – KTDA

Na IRENE MUGO HALMASHAURI ya Kusimamia Majanichai Kenya imetangaza kwamba bei ya mazao hayo imepungua kwa asilimia 12 duniani kutokana...

Sheria mpya ya majani chai iidhinishwe haraka – Wakulima

Na CHARLES WASONGA WAKULIMA wa majani chai wamepata zawadi ya Krismasi baada ya maseneta kupitisha mswada utakaoleta mageuzi...

Sekta ya chai kupigwa jekiseneti ikipitisha mswada

Na CHARLES WASONGA BUNGE la seneti Jumatatu litafanya kikao maalum kujadili Mswada mpya wa sekta ya Chai ambao unasheheni mapendekezo...

Himizo wabunge waunge mageuzi katika sekta ya majanichai

Na VITALIS KIMUTAI WABUNGE kutoka maeneo yanayokuzwa majanichai nchini, wamehimizwa kuunga mkono mapendekezo yaliyotolewa kuifanyia...

Mswada wa kuboresha kilimo cha majanichai washabikiwa na wengi

Na LAWRENCE ONGARO MSWADA wa kuboresha zao la majani chai ulipongezwa na wengi huku mbunge wa Thika Bw Patrick 'Jungle" Wainaina akisema...

Wakulima wa majanichai Gatundu Kaskazini washabikia pendekezo la Munya

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA zaidi ya 1,000 wa majanichai katika eneo la Gatundu Kaskazini wamepitisha kwa kauli moja mapendekezo yaliyo...

Uvumi majani chai yanaponya corona wasisimua Pwani

Na MISHI GONGO WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya Pwani jana waliamkia kunywa chai bila maziwa na sukari kabla ya jua kuchomoza, kwa imani...

Mswada wapendekeza halmashauri mpya kusimamia sekta ya majani chai

Na CHARLES WASONGA SEKTA ya majani chai nchini itaongozwa na halmashauri mpya ambayo itatekeleza mageuzi yanayolenga kuwezesha wakulima...