Wakazi wa mitaa sita ya Mukuru wahangaika kupata maji kwa zaidi ya wiki moja

Na SAMMY KIMATU WAKAZI katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kwa Reuben ulioko katika kaunti ndogo ya Embakasi Kusini wanahangaika kwa kukosa...

Maji tele Pwani lakini nyumba zakosa tone!

Na WAANDISHI WETU MAELFU ya wakazi wa kaunti za Pwani wanazidi kutatizika kwa uhaba wa maji ambao umedumu kwa miaka mingi bila suluhisho...

Diwani wa Landimawe aafikiana na Nairobi Water kusambaza maji Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU DIWANI wa Landimawe katika kaunti ndogo ya Starehe, Bw Herman Azangu amewahakikishia wakazi wa mtaa wa mabanda wa Kayaba...

Shule zakosa maji ya kupikia watoto

Na WAANDISHI WETU WALIMU katika baadhi ya shule za Kaunti ya Tana River, wamelazimika kuwapa watoto chakula kibichi ili wakajipikie...

Tumaini shirika la Ubelgiji likifadhili uchimbaji kisima eneobunge la Ganze

Na ALEX KALAMA WAKAZI wa eneo la Kavunzoni, Kaunti ya Kilifi wana matumaini kwamba tatizo la uhaba wa maji ambalo limewakumba kwa miaka...

Boresha afya yako kwa kunywa maji fufutende

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmdia.com MAJI ya kunywa ni sehenu muhimu katika kuboresha afya zetu kama binadamu, haswa katika...

Thiwasco yaweka mikakati ya uboreshaji wa huduma za maji safi

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya maji ya Thika, maarufu kama Thiwasco, imepanga mikakati ya miaka 20 ijayo kwa lengo la kutosheleza wateja...

Wapwani kukosa maji huku miradi ya Sh70b ikikwama

ANTHONY KITIMO, STANLEY NGOTHO na WACHIRA MWANGI WAKAZI wa Mombasa, Kwale na Kilifi wataendelea kukabiliwa na uhaba wa maji baada ya...

Wafanyabiashara Muthurwa waitaka NMS iwape maji safi

Na SAMMY KIMATU WACHUUZI katika soko la Muthurwa, Kaunti ya Nairobi wameliomba Shirika la Huduma katika jiji la Nairobi (NMS) kuzindua...

Wakazi wa mitaa ya mabanda Nairobi wahangaika kupata maji

Na SAMMY KIMATU WAKAZI katika mitaa mitatu ya mabanda katika Kaunti ya Nairobi wameomba serikali kuwachukulia hatua kali maafisa katika...

Wakazi waikejeli serikali kusitisha usambazaji wa maji

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa vijiji vya Witu na viungani mwake wameikejeli serikali ya Kaunti ya Lamu kwa kusitisha ghafla huduma ya...

Zaidi ya watu 3000 wakumbwa na uhaba wa maji Lamu Mashariki

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 3000 wa vijiji vya Siyu, Shanga-Ishakani na Shanga-Rubu kwenye kisiwa cha Pate, Kaunti ya Lamu...