Corona ilivyohangaisha makahaba dhuluma zikiongezeka

NA RICHARD MAOSI MAKAHABA kutoka Magharibi mwa Kenya wamekuwa wakipitia hali ngumu ya kiuchumi tangu janga la corona kubisha humu...

Makahaba walilia serikali iwalinde dhidi ya dhuluma za wazee wa mitaa

Na WINNIE ATIENO MAKAHABA mjini Mombasa wanaitaka serikali iwalinde dhidi ya dhuluma na unyanyasaji wanaopitia mikononi mwa wazee wa...

FUNGUKA: Mimi ni kahaba mchana lakini mke wa mtu usiku

NA PAULINE ONGAJI Kwa wengi, ukahaba mara nyingi hutokana na umaskini. Lakini sio kwake Bi Merita. Bibi huyu ameamua kufanya kazi hii...

Kahaba aliyefungwa maisha kwa mauaji ya mwenziwe aachwa huru

Na Richard Munguti MAHAKAMA ya Rufaa Ijumaa ilimwachilia huru kahaba aliyekuwa amefungwa jela maisha kwa mauaji ya mwanamke raia wa...

Pedro atema mkewe na kuchumbia kahaba

Na CHRIS ADUNGO NYOTA wa Chelsea, Pedro Rodriguez, 32, amejinasia penzi la mrembo mpya mzawa wa Uhispania miezi michache baada ya...

KURUNZI YA PWANI: Shirika lawataka wanaojiuza kimwili waanze kuuza sabuni

Na MISHI GONGO SHIRIKA la kijamii la Nkoko Iju Africa linapanga kuwafaidi makahaba 4,000 mjini Mombasa kwa kuwapatia ujuzi...

Makahaba walilia msaada wakiahidi kubadilika

Na Titus Ominde MAKAHABA mjini Eldoret wanawasihi wahisani kuwasaidia kifedha wakiahidi kurekebisha tabia baada ya biashara yao...

Makahaba wataka wawekwe kwa orodha ya wanaotoa huduma muhimu!

Na Wachira Mwangi HOFU ya kufa njaa imewakumba makahaba katika Kaunti ya Mombasa na sasa wanataka wajumuishwe miongoni mwa watu wanaotoa...

Makahaba wawinda wakulima wa ngano

Na WAIKWA MAINA Makahaba wamevamia mji wa Ol Kalou kaunti ya Nyandarua wakilenga wakulima wa mahindi na ngano eneo hilo. Wakulima wa...

Makahaba wakongwe sasa watia chipukizi wa Arsenal mtegoni

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO chipukizi wa Arsenal, Joe Willock, 20, amekiri kukoseshwa usingizi na idadi kubwa ya makahaba ambao kwa sasa...

Kahaba ataka Giggs amvishe pete kisha wazidi kujaza dunia

NA MASHIRIKA MWEZI mmoja baada ya aliyekuwa mke wa Ryan Giggs, Stacey Cooke, 40, kutwaliwa na mwanamuziki Max George, 30, kahaba Thomas...

Makahaba 800 walia kuteswa na polisi, wataka waheshimiwe

Na PHYLLIS MUSASIA MAKAHABA zaidi ya 800 mjini Nakuru wamelalamikia kuteswa na kudhulumiwa na maafisa wa kaunti pamoja na polisi. Hii...