Taita Taveta huru kutoza kodi miji inayozozania na Kaunti ya Makueni

Na PHILIP MUYANGA WAFANYABIASHARA mjini Mackinon Road na Mtito Andei sasa watahitajika kulipia ada zao za kibiashara kwa Serikali ya...

Ukambani nao wafuata minofu Ikulu

Na KITAVI MUTUA RAIS Uhuru Kenyatta atapeleka minofu ya serikali Ukambani, katika juhudi za kutuliza malalamiko kuwa ametenga eneo hilo...

Polisi ashtakiwa kwa kuitisha hongo kutoka kwa mhudumu wa bodaboda

PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA KAMANDA mmoja wa polisi Jumatano alishtakiwa katika mahakama moja ya Makueni kwa kosa la kupokea hongo ya...

Wakili aliyekatwa mikono katika mzozo wa mapenzi afariki

PIUS MAUNDU na BENSON MATHEKA WAKILI aliyedaiwa kukatwa mikono na afisa wa kike wa polisi mjini Wote, Kaunti ya Makueni wiki moja...

Makabiliano eneo la Mikululo yasababisha vifo vya watu wawili

Na RICHARD MUNGUTI WATU wawili wameuawa na wengine sita wakajeruhiwa Jumamosi kufuatia makabiliano mapya baina ya wafugaji kutoka kaunti...

Kongamano kuhusu tabia-nchi kufanyika Makueni

Na Benson Matheka Kongamano la ugatuzi mwaka huu litafanyika mjini Wote, Kaunti ya Makueni kati ya Aprili 20 na 23 mwaka huu, baraza la...

Maembe ya kisasa yanavyostawisha uchumi wa Makueni

NA RICHARD MAOSI rmaosi@ke.nationmedia.com Upanzi wa maembe ni utajiri mkubwa kwa wakulima mashinani, hususan wajasiriamali...

Makueni yaahidiwa maji safi kutoka Mzima Springs

Na PIUS MAUNDU SERIKALI inapanga kusambaza maji kutoka chemchemi ya Mzima hadi Kaunti ya Makueni, kwa mujibu wa Waziri wa Maji, Bw Simon...

Wanafunzi waliopanga kumuua mwenzao kwa sumu wafukuzwa shuleni

Na PIUS MAUNDU WANAFUNZI watatu ambao walikuwa wakipanga kumtilia sumu mwenzao katika Shule ya Wasichana ya Makueni kuhusiana na mzozo...

Prof Kibwana tosha 2022, Wakenya mitandaoni waamua

Na PETER MBURU WAKENYA sasa wanataka Gavana wa Makueni Prof Kivutha Kibwana alazimishwe kuwa Rais akikosa kuwania, baada ya kufurahishwa...

DIGIFARM: Ithibati tosha teknolojia ndiyo suluhu ya baa la njaa

NA FAUSTINE NGILA HATUA ya hivi majuzi ya kampuni ya Safaricom kusajili wakulima 150,000 wa Kaunti ya Makueni katika programu ya simu ya...

Wito kwa jamii ya Wakamba iitishe matangi ya maji kama mahari

Na PIUS MAUNDU WAZIRI wa Maji katika Kaunti ya Makueni, Bw Robert Kisyula, ameomba jamii ya Wakamba itafakari upya utamaduni wake kuhusu...