Mali ya Sirma hatarini kuuzwa na madalali

Na JOSEPH OPENDA ALIYEKUWA waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Musa Sirma huenda akapoteza mali ya thamani ya mamilioni kwa...

AU yaondoa marufuku dhidi ya serikali ya Mali

Na AFP BAMAKO, Mali UMOJA wa Afrika (AU) umerejesha Mali miongoni mwa mataifa wanachama wake baada ya kuisimamisha kwa muda kufuatia...

Utawala wa mpito waachilia huru wanajeshi, wanasiasa

Na AFP BAMAKO, Mali WANASIASA na wakuu wa kijeshi waliokamatwa wakati wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini Mali mnamo Agosti...

Hofu ya mapinduzi baada ya wanajeshi kuzua ghasia Mali

Na MASHIRIKA BAMAKO, Mali WANAJESHI wa Mali Jumanne walizua ghasia katika kambi moja mjini Kati na kuzua hofu ya mapinduzi katika...

Mali inayokadiriwa kuwa ya thamani ya Sh12 milioni yaharibiwa na moto shuleni Koyonzo

Na SHABAN MAKOKHA MALI inayokadiriwa kuwa ya thamani ya Sh12 milioni imeharibiwa baada ya moto wa usiku wa manane katika Shule ya...

Wanajeshi 53 wauawa katika shambulio la kigaidi Mali

Na AFP BAMAKO, MALI WANAJESHI 53 wa Mali wameuawa baada ya kituo chao kilichoko Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo kushambuliwa na...

Kesi dhidi ya mbunge wa zamani yagonga mwamba

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Tetu na mwenyekiti wa Kamati ya Usalama na Uhusiano wa Kimataifa Bungeni, James Ndung’u...

Mali yaponea pembamba faini na adhabu kali ya Fifa

Na MASHIRIKA BAMAKO, Mali TIMU ya taifa ya Mali inaelekea kukwepa marufuku kutoka kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) baada ya...

Kilio cha mabwanyenye: Nani atarithi mali?

Na MWANGI MUIRURI KUNA taharuki kubwa miongoni mwa mabwanyenye kuhusu urithi wa mali yao baada ya aidha kuzidiwa na uzee au kuaga...

Mng’oa meno aamriwa asikizane na shemeji zake

[caption id="attachment_2561" align="aligncenter" width="800"] Kutoka kushoto: Ashman Sapra, Dkt Nisha Sapra na Bi Kuldip Sapra wakiwa...

Watu wanne wafariki baada ya kukanyaga kilipuzi

Na MASHIRIKA BAMAKO, MALI JESHI la Mali limesema kwamba watu wanne waliuawa na kadhaa wakajeruhiwa baada ya gari lao kulipuliwa eneo...