Utafunaji miraa unaharibu hali ya usafi – Jaji

Na MAUREEN ONGALA JAJI wa Mahakama ya Malindi, Bw Stephene Githinji, amelaumu uraibu wa utafunaji miraa na muguka kwa uchafuzi wa...

Jumwa adai serikali ya Kingi haijali wakazi

ALEX KALAMA na VALENTINE OBARA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, ameisuta Serikali ya Kaunti ya Kilifi akidai kuwa haitilii maanani...

Historia ya Malindi kama mji wa kifahari Uswahilini

Na Hawa Ali MALINDI ni mji wa Kenya kwenye pwani ya Bahari Hindi. Mji huu u kilomita 100 Kaskazini ya mji wa Mombasa kwenye karibu na...

ODM na PAA wazozania umiliki wa afisi mjini Malindi

Na MAUREEN ONGALA MVUTANO umeibuka kuhusu umiliki afisi moja mjini Malindi kati ya chama cha ODM na chama kipya cha Pamoja African...

Waliofungwa jela maisha kwa kuficha gaidi wa al-Qaeda waachiliwa huru

Na PHILIP MUYANGA MWANAMUME na mwanawe ambao walihukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kumpa makao gaidi wa kundi...

MAKALA MAALUM: Bidii ya bodaboda kujikwamua kutoka kwa lindi la umaskini

Na MAUREEN ONGALA CHANGAMOTO za ukosefu wa ajira ambayo imechangia umaskini miongoni mwa vijana si sababu kuu ambayo ilisababisha vijana...

MAHANGAIKO: Baadhi ya wakazi wa Mayungu wategemea dampo kupata chakula

Na FARHIYA HUSSEIN TUNAKARIBISHWA na taka zilizooza na kuozeana na kutapaka kila mahali huku zikitoa uvundo eneo la Mayungu, Malindi,...

VASCO DA GAMA: Kitega uchumi cha Malindi kilicho hatarini kuangamizwa na wavuvi

 NA RICHARD MAOSI NI adhuhuri na niko hapa mjini Malindi na leo nimeamua kuzuru maeneo ya ufuo wa Bahari Hindi. Natembea kwa mguu...

Mashoga 6,000 hatarini kuambukizwa HIV kuliko makahaba

Na CHARLES LWANGA KARIBU watu 6,000 wanofanya ushoga mjini Malindi wako katika hatari ya kuambukizwa na virusi vya Ukimwi kutokana na...