Malkia Strikers yapigwa na Serbia kwenye Kundi A voliboli katika Olimpiki

Na GEOFFREY ANENE VICHAPO vinazidi kuwa vikali kwa timu ya taifa ya voliboli ya kinadada ya Kenya baada ya kukung’utwa na mabingwa wa...

Malkia Strikers warejea uwanjani kesho dhidi ya Serbia

ELIAS MAKORI na JOHN ASHIHUNDU BAADA ya kupoteza mechi mbili mfululizo dhidi ya Japan na Korea Kusini mtawaliwa, timu ya taifa ya...

Makocha wa voliboli kutoka Brazil sasa wachukua usukani wa Malkia Strikers

Na GEOFFREY ANENE MAKOCHA kutoka Brazil wamechukua usukani wa timu ya taifa ya voliboli ya wanawake ya Kenya maarufu kama Malkia...

Malkia Strikers kupiga kambi ya mazoezi bara Asia au Ulaya kabla ya kutua Japan kwa Olimpiki

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya taifa ya voliboli ya wanawake, Malkia Strikers, wamepangiwa kupiga kambi barani Ulaya au Asia kabla ya kuelekea...

Malkia Strikers wajifariji kwa kupiga Cameroon

Na JOHN KIMWERE HATIMAYE timu ya Kenya ya Malkia Strikers ilibahatika kuvuna ushindi wa kujifariji kwenye voliboli ya Kombe la Dunia...

‘Malkia Strikers yaimarika pakubwa licha ya msururu wa matokeo mabaya’

Na GEOFFREY ANENE KAMBI ya Kenya imefurahia mchezo wake licha ya Malkia Strikers kupoteza mechi yake ya 10 mfululizo kwenye Kombe la...

Malkia Strikers wapigwa seti 3-0 na Dominican Republic

Na GEOFFREY ANENE KENYA ilipoteza mechi yake ya 37 tangu ianze kushiriki Kombe la Dunia mwaka 1991 baada ya Malkia Strikers kuchabangwa...

Malkia Strikers yalenga kusumbua Jamhuri ya Dominican

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Malkia Strikers ya Kenya inalenga kusumbua Jamhuri ya Dominican katika mechi yake ijayo ya Kombe la Dunia la...

Tutapigana kufa kupona, kocha wa Malkia Strikers aahidi

Na JOHN KIMWERE KOCHA mkuu wa timu ya voliboli ya wanawake maarufu Malkia Strikers, Paul Bitok amesema kuwa analenga kuhakikisha kikosi...

Malkia Strikers yamulika Kombe la Dunia baada ya kushinda African Games

Na GEOFFREY ANENE BAADA ya kupiga mahasimu wake wakuu Cameroon mara mbili ikitwaa taji la voliboli ya akina dada kwenye michezo ya...

Malkia Strikers kufufua uhasama dhidi ya Cameroon fainali ya voliboli

Na GEOFFREY ANENE KENYA na Cameroon zitakutana katika fainali ya mashindano ya voliboli ya wanawake ya Bara Afrika kwa mara ya pili...

Malkia Strikers yalenga kulipiza kisasi dhidi ya Cameroon

Na GEOFFREY ANENE MALKIA Strikers ya Kenya italenga kulipiza kisasi dhidi ya mabingwa watetezi Cameroon katika mechi ya mwisho ya Kundi...