Madereva wa malori wakashifu Macharia

DENNIS LUBANGA na BRIAN OJAMAA MADEREVA wa matrela wanaosafirisha bidhaa katika nchi za Uganda na Rwanda, wamemlaumu vikali Waziri wa...

Madereva wa matrela wageuka wasambazaji wakuu wa corona

Na WANDERI KAMAU MADEREVA tisa wa matrela Jumatatu walithibitishwa kuwa miongoni mwa watu 28 walioambukizwa virusi vya corona nchini,...

Adai haelewi shtaka la kuuza lori la mamilioni kabla ya kulilipia

Na RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa lori lenye thamani ya Sh5.4milioni aliyeliuza kabla ya kukamilisha kulipa mkopo wa benki...

Malori yenye magunia 330 ya makaa yanaswa

Na OSCAR KAKAI MAAFISA wa misitu na wa serikali ya kaunti wamenasa malori matatu yakisafirisha magunia 330 ya makaa mjini Kacheliba,...

MAKALA MAALUM: Wageukia magari ya serikali kusafirisha miti ili wasikamatwe

Na BERNADINE MUTANU TANGU kupigwa marufuku kwa ukataji wa miti na uchomaji makaa, wafamyibiashara wa bidhaa hizo wamelazimika kuja na...

Viongozi wa Kiambu wataka Ngilu akamatwe

[caption id="attachment_1329" align="aligncenter" width="800"] GAVANA wa Kitui Bi Charity Ngilu akihutubu. Picha/ Maktaba[/caption] Na...

Watatu wafariki baada ya malori mawili kugongana na kushika moto

Na PIUS MAUNDU WATU watatu waliaga dunia Ijumaa adhuhuri baada ya magari walimokuwa wakisafiria kugongana na kuwaka moto karibu na mji...