Man-City wapepeta Sporting Lisbon bila huruma katika UEFA

Na MASHIRIKA MANCHESTER City waliweka hai matumaini ya kutinga robo-fainali za Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu huu kirahisi baada ya...

Man-City wakubali kuuzia Barcelona kiungo mvamizi Ferran Torres

Na MASHIRIKA MANCHESTER City wamekubali mpango wa kumuuza fowadi Ferran Torres kambini mwa Barcelona. Inaripotiwa kwamba Barcelona...

Man-City wakomoa Newcastle na kukalia vizuri kileleni mwa jedwali la EPL

Na MASHIRIKA MANCHESTER City walikomoa Newcastle United 4-0 ugani Etihad na kufungua mwanya wa alama tatu kati yao na nambari mbili...

Man-City watwanga Wolves na kufungua pengo la alama 15 kileleni mwa jedwali la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola amepongeza wanasoka wake kwa kujituma vilivyo na kusajili matokeo ya kuridhisha katika kipindi ambapo...

Man-City wacharaza Burnley tena na kujiweka pazuri kutwaa taji la EPL msimu huu

Na MASHIRIKA MANCHESTER City walifungua mwanya wa alama tatu kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Februari 3, 2021...

Hatima ya Man City kucheza UEFA kujulikana Julai

Na CHRIS ADUNGO MAHAKAMA ya Mizozo ya Spoti Duniani (CAS) inatarajiwa kutangaza maamuzi ya kesi ya rufaa ya Manchester City dhidi ya...

Man City roho mkononi kesi dhidi yao ikianza

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER City wanaanza mojawapo ya wiki ngumu zaidi katika historia yao wakifahamu uwezekano wa hadhi yao kushuka,...

MBOGA YA MAN CITY: Manchester City kuanza kutetea ubingwa League Cup dhidi ya Preston

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza MANCHESTER City itaanza kampeni ya kutetea ubingwa wake wa soka ya League Cup dhidi ya klabu ya...

Kombora nililopiga Leicester ni leseni ya kuondoka Etihad – Kompany

NA CECIL ODONGO NAHODHA wa Manchester City Vincent Kompany amefichua kwamba aliamua kubanduka kambini mwa timu hiyo alipofunga bao...

Ilinikata maini kubanduliwa UEFA, afunguka Gundogan

NA CECIL ODONGO KIUNGO wa Manchester City Ilkay Gundogan amesema kwamba kubanduliwa kwenye ligi ya mabingwa UEFA kulimkata...

Man City watwaa ufalme wa EPL kwa mara ya pili mfululizo

NA MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA MANCHESTER City waliweka historia katika soka ya Uingereza Jumapili kwa kunyanyua ubingwa wa taji la...

Sababu zitakazowavunia Barcelona au City ufalme UEFA

NA MWANDISHI WETU MECHI za maruadiano ya robo-fainali za kuwania taji la Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu huu zitasakatwa wiki hii huku...