Mchuuzi anayevuna vinono kupitia kilimo cha mananasi

Na SAMMY WAWERU JITIHADA zake kuwa mwanahabari zilipogonga mwamba kwa sababu ya ukosefu wa karo, Zachariah Makori aliamua kufanya...

Kiwanda cha mananasi kujengwa Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kaskazini wana sababu ya kutabasamu baada ya kuahidiwa na serikali ya Kaunti ya Kiambu kuwa...

AKILIMALI: Kilimo cha mananasi kimemjenga hadi sasa ana trekta ya kukodisha

Na PETER CHANGTOEK WILSON Baya, 35, anashika nanasi lililoiva shambani kwake, katika eneo la Viriko, Magarini, Kaunti ya Kilifi, huku...

Kiwanda cha mananasi kujengwa Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI ya Kaunti ya Kiambu ina mpango wa kujenga kiwanda cha mananasi katika eneo la Gatundu Kaskazini. Gavana...

VINYWAJI: Jinsi ya kutayarisha sharubati ya mananasi

Na MISHI GONGO Idadi ya wanywaji: 4 Vitu vinavyohitajika nanasi nusu karoti kubwa 3 ndimu ya unga robo kijiko sukari...

AKILIMALI: Gharama ya kilimo cha uzalishaji mananasi ni ya chini, mapato ni bora

Na SAMMY WAWERU NI maeneo machache yanayojulikana kuzalisha mananasi nchini nayo ni Thika, Malindi, Kisii na Kericho. Maeneo kadha...

AFYA: Manufaa ya kula mananasi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MWILI unapokosa kinga imara, huwa katika hatari ya kushambuliwa na kila aina ya magonjwa...