Man-United wakomoa Leeds United baada ya kuponea ugani Elland Road

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER United walihimili makali ya Leeds United na kuondoka ugani Elland Road na alama tatu kutokana na ushindi wa...

Droo ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16-bora kufanywa upya muda mchache ujao baada ya kutokea kwa hitilafu za kiteknolojia leo mchana

Na MASHIRIKA DROO ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16-bora kufanywa upya muda mchache ujao baada ya kutokea kwa hitilafu za kiteknolojia leo...

Man-United na Chelsea zatoka sare uwanjani Stamford Bridge

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walijiandaa kwa ujio wa kocha mshikilizi Ralf Rangnick kwa kuwalazimishia Chelsea sare ya 1-1 katika gozi...

Aston Villa wapiga Man-United breki kali ligini

Na MASHIRIKA MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Manchester United walipigwa breki kali hapo jana na Aston Villa...

Man-United wakabwa koo na Southampton ligini

Na MASHIRIKA MAKALI yaliyoshuhudia Manchester United wakipepeta Leeds United 5-1 katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)...

Vigogo Man-U, Chelsea na Liverpool mawindoni leo

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MIAMBA wa Manchester United, Chelsea na Liverpool watalenga kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu ya...

Mashabiki watibua mechi ya EPL kati ya Man-United na Liverpool ugani Old Trafford

Na MASHIRIKA MCHUANO wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) uliokuwa uwakutanishe Manchester United na Liverpool uwanjani Old Trafford mnamo...

Man-Utd wapewa AC Milan, Arsenal kuvaana na Olympiakos huku Spurs wakionana na Zagreb kwenye hatua ya16-bora Europa League

Na MASHIRIKA MANCHESTER United watavaana na mabingwa mara saba wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), AC Milan, kwenye hatua ya 16-bora ya Europa...

Solskjaer amfuatilia Erling Braut Haaland kwa nia ya kumshawishi ajiunge na Manchester United

Na MASHIRIKA KOCHA Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United amesema kwamba anamfuatilia fowadi chipukizi wa Borussia...

COVID-19: Mechi za Europa League kati ya Real Sociedad na Man-United na nyingine kati ya Benfica na Arsenal sasa kuchezewa nchini Italia

Na MASHIRIKA MECHI ya mkondo wa kwanza ya Europa League kati ya Real Sociedad na Manchester United wiki ijayo sasa itachezewa jijini...

Manchester United waponda Leeds United na kupaa hadi tatu-bora EPL

Na MASHIRIKA SCOTT McTominay aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao mawili chini ya dakika tatu za ufunguzi wa mechi ya...

Manchester United kuvaana na Real Sociedad nao Arsenal kuonana na Benfica katika hatua ya 32-bora ya Europa League

Na MASHIRIKA BAADA ya kushuka ngazi hadi Europa League kufuatia kubanduliwa kwao kwenye Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu huu, Manchester...