Bayern Munich yadengua Al Ahly na kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Tigres UANL ya Mexico

Na MASHIRIKA ROBERT Lewandowski alifunga mabao mawili dhidi ya Al Ahly ya Misri na kusaidia Bayern Munich kufuzu kwa fainali ya Kombe la...

Bayern Munich bado kileleni mwa jedwali la Bundesliga licha ya kuambulia sare na Werder Bremen

Na MASHIRIKA LICHA ya kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya Werder Bremen kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Bayern Munich walisalia...

UDAKU: Kipa mkongwe Neuer kanasa kimanzi tineja

Na MWANDISHI WETU KIPA matata wa Bayern Munich, Manuel Neuer amezua gumzo kubwa nchini Ujerumani baada ya kujinasia penzi motomoto la...

Golikipa na nahodha wa Bayern Munich atia saini mkataba mpya wa miaka mitatu

Na CHRIS ADUNGO KIPA Manuel Neuer wa Bayern Munich amerefusha mkataba wake na kikosi hicho cha Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kwa...