Wenye makalio makubwa hawawezi kugonjeka kisukari – Utafiti

MASHIRIKA na PETER MBURU UTAFITI mpya umeonyesha kuwa watu walio na unene katika sehemu za miguu, mapaja na makalio wanaweza kuwa katika...

VITUKO UGHAIBUNI: Wanafunzi wanaotuonyesha mapaja wanatutesa – Mhadhiri

Na VALENTINE OBARA KAMPALA, UGANDA MHADHIRI wa kiume katika Chuo Kikuu cha Makerere amelaumu wanafunzi wa kike kwa kuwatia wahadhiri...