WANAUME KAMILI

Na LEONARD ONYANGO WALIOKUWA majaji wakuu Willy Mutunga na David Maraga, wamejitokeza kuwa miongoni mwa Wakenya wachache walio na...

Viongozi wataka Jaji Mkuu mpya ateuliwe kwa uwazi

Na SHABAN MAKOKHA VIONGOZI kadhaa jana walijitokeza kuonya dhidi ya kuingiliwa kwa mchakato wa kumteua Jaji Mkuu mpya atakayemrithi...

Mchakato wa kumsaka mrithi wa Maraga kuanza Jumatatu

Na RICHARD MUNGUTI MCHAKATO wa kumsaka Jaji Mkuu wa tatu tangu Katiba mpya ya 2010 izinduliwe utaanza rasmi Jumatatu...

Maraga asifiwa kwa kuongeza idadi ya korti nchini

Na SAMMY WAWERU Utendakazi wa Jaji Mkuu (CJ) David Kenani Maraga na ambaye alistaafu rasmi mnamo Jumatatu, Januari 11, 2021 umesifiwa hasa...

Maraga awataka majaji kusimama kidete akistaafu

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu anayestaafu, Bw David Maraga, amewataka majaji na mahakimu waendelee kusimama kidete katika utendakazi wao...

Maraga: Upungufu wa majaji umeathiri pakubwa utendakazi wa idara ya mahakama 

Na SAMMY WAWERU HUKU Jaji Mkuu (CJ) David Maraga akijiandaa kustaafu rasmi Januari 2021 ameendelea kulalamikia uhaba wa majaji katika...

Kazi yangu si kufurahisha watu, asema Maraga

Na RUTH MBULA JAJI Mkuu David Maraga ambaye amekuwa akilaumiwa na wanasiasa na maafisa wa serikali kwa misimamo na maamuzi yake, amesema...

Wakazi wataka kesi yao iende kwa Maraga

Na PHILIP MUYANGA BAADHI ya wakazi katika mtaa wa Buxton, Kaunti ya Mombasa ambao wanapinga mradi wa nyumba za kisasa wa Sh6 bilioni,...

Maraga ateua jopo kusikiza kesi ya kuvunja Bunge

Na JOSEPH WANGUI JAJI Mkuu David Maraga amebuni jopo la majaji watano ambao watasikiza na kuamua kesi zilizowasilishwa mahakamani...

Maraga adai Uhuru amepuuza utekelezaji Katiba

Na BENSON MATHEKA JAJI MKuu Jaji Maraga anasema Kenya ina Katiba nzuri zaidi duniani lakini utekelezaji wake usioridhisha unaifanya...

Kesi ya mama aliyedai kuzaa na Maraga yatupwa

Na Richard Munguti MAHAKAMA ya kuamua kesi za watoto, Jumatano ilitupilia mbali kesi ambayo mwanamke alidai Jaji Mkuu David Maraga...

Wanasiasa waanza harakati za kusaka mrithi wa Maraga

Na BENSON MATHEKA KAMPENI kali inaendelea chini kwa chini kumtafuta mrithi wa Jaji Mkuu David Maraga anayetarajiwa kustaafu mapema mwaka...