TUSIJE TUKASAHAU: Ripoti yasema kaunti zote 47 zinadaiwa jumla ya Sh105 bilioni

RIPOTI ya hivi punde iliyotayarishwa na afisi ya Msimamizi wa Bajeti (CoB), Dkt Margaret Nyakang’o, inasema kuwa kaunti zote 47 zinadaiwa...