Gor Mahia yawasaka wavamizi 3 nje ya nchi

Na CECIL ODONGO KLABU ya Gor Mahia imetangaza kuwa inawasaka washambulizi watatu hatari zaidi kutoka nje baada ya kuwatema Tito Okello...