Vilio Koome aingilie kati kesi za kupinga ufufuzi wa Mumias

Na SHABAN MAKOKHA WAKULIMA wa miwa na viongozi katika Kaunti ya Kakamega wamemwomba Jaji Mkuu Martha Koome aingilie kati kesi...

Koome atuliza hofu ya Ruto kuhusu 2022

Na MARY WANGARI JAJI Mkuu Martha Koome amepuuzilia mbali shinikizo za Naibu wa Rais William Ruto pamoja na wandani wake kumtaka ajiondoe...

Koome aagiza mahakama zianze kusikiliza kesi kwa njia ya kawaida

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu Martha Koome ameagiza mahakama kote nchini zianze kusikiliza kesi kwa njia ya kawaida kufuatia kuondolewa...

Koome aagiza kesi za miaka minne zimalizwe

Na RICHARD MUNGUTI JAJI mkuu Martha Koome amewaagiza mahakimu wote kote nchini wasikize na kuamua haraka kesi zote zilizowasilishwa...

Nahitaji miaka 3 kuifahamu vyema idara – Jaji Mkuu Martha Koome

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu Martha Koome amesema kuwa itamchukua miaka mitatu ili kuielewa vyema Idara ya Mahakama. .Jaji Mkuu...

Jaji Koome atwaa afisi muhimu akiahidi mageuzi

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu mpya Martha Koome ameapa kuhakikisha uhuru wa idara ya mahakama unazingatiwa na kutekelezwa, huku akiomba...

Magavana wa Mlima Kenya wawatunuka sifa Spika Muturi na Jaji Mkuu Martha Koome

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA Kiraitu Murungi (Meru), Muthoni Njuki (Tharaka Nithi) na Martin Nyaga Wambora walikutana na Spika wa Bunge...

Ni rasmi kuwa Martha Koome ndiye Jaji Mkuu wa Kenya

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amemteua rasmi Martha Koome kuwa Jaji Mkuu wa Kenya kupitia notisi kwenye toleo rasmi la gazeti...

Wabunge kukutana kujadili na kupigia kura ripoti kuhusu ufaafu wa Jaji Martha Koome kwa cheo cha Jaji Mkuu

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wameitwa kwa kikao maalum Jumatano kujadili na kupiga kura ripoti ya kamati ya sheria kuhusu ufaafu wa Jaji...

Koome atofautiana na Maraga

Na WINNIE A ONYANDO JAJI Mkuu mteule Martha Koome ametofautiana na mtangulizi wake, David Maraga kuhusu pendekezo la kutaka kubuniwa kwa...

Sichukii wanaume, ninazingatia haki ninapotoa uamuzi – Koome

Na SAMMY WAWERU JAJI Mkuu mteule Bi Martha Koome amejitetea vikali dhidi ya madai kuwa anachukia jinsia ya kiume kufuatia maamuzi yake...

Martha Koome ahimizwa kudadarukia kesi za mizozo ya mashamba kuondoa mrundiko endapo ataidhinishwa rasmi kuwa Jaji Mkuu

Na SAMMY WAWERU JAJI Mkuu mteule Bi Martha Koome amehimizwa kuzipa kipaumbele kesi za mizozo ya ardhi na mashamba ili kuondoa...