Mary Wambui apata kazi nyingine serikalini

Na STEVE OTIENO ALIYEKUWA Mbunge wa Othaya, Bi Mary Wambui, sasa ndiye mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Hazina ya urekebishaji tabia...

Mahakama yazima uteuzi wa Wambui kusimamia uajiri

Na RICHARD MUNGUTI UTEUZI wa aliyekuwa Mbunge wa Othaya Mary Wambui kuwa mwenyekiti wa Mamlaka ya Kitaifa ya Uajiri (NEA) na Rais Uhuru...

Sakaja aelezea kutoridhishwa kwake na kuteuliwa kwa Mary Wambui

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Nairobi Johnson Sakaja ni kiongozi wa hivi punde kuonekana kupinga uteuzi wa aliyekuwa mbunge wa Othaya...

Mary Wambui ateuliwa serikalini

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Mbunge wa Othaya Mary Wambui ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kitaifa ya Ajira (NEA). Kwenye...