Maseneta wagonga mwamba

Na RICHARD MUNGUTI JITIHADA za maseneta kubuni hazina watakayosimamia katika kaunti ziligonga mwamba mahakama ya juu iliposema jana...

Kumbe maseneta ni wabwekaji wasio na uwezo kung’ata!

Na CHARLES WASONGA WABUNGE na maseneta ambao walikuwa wakipiga domo wakitisha kuangusha Mswada wa BBI wameibuka kuwa wabwekaji wasio na...

Maseneta wakana dai la kuwapunja magavana

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Seneti kuhusu Uhasibu na Uwekezaji (CPAIC), imekana madai kuwa wanachama wake huwapunja magavana wanapofika...

Seneta Lelengwe aachiliwa huru bila masharti

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Samburu Steve Lelengwe mnamo Jumatatu, Agosti 17, usiku aliachiliwa huru baada kuhojiwa na maafisa wa...

Maseneta wanavyotumia utata wa ugavi wa mapato kujijenga

Na WANDERI KAMAU IMEBAINIKA kuwa baadhi ya maseneta wanatumia utata uliopo kuhusu Mfumo wa Ugavi wa Mapato kwa serikali za kaunti...

Ruto awataka maseneta waandae mfumo ‘rafiki’ wa ugavi wa fedha

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amewataka maseneta kuandaa mfumo wa ugavi wa fedha kwa kaunti utakaohakikisha kuwa kaunti...

Kikao cha seneti chaahirishwa malumbano yakiwa yamechacha

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine maseneta walikosa kukubaliana kuhusu mfumo mpya wa ugavi wa fedha baina ya kaunti baada ya wao...

Maseneta wachemka wakipinga mfumo mpya wa ugavi wa fedha

NA CHARLES WASONGA ZAIDI ya maseneta 21 wamepinga mfumo mpya wa ugavi wa fedha baina ya kaunti uliopendekezwa na Tume ya Ugavi wa Mapato...