Masharti makali kwa wanaotaka kwenda mashambani

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa sehemu za miji wanaopanga kurudi nyumbani maeneo ya mashambani baada ya vikwazo vya usafiri kuondolewa...

KILIMO NA BIASHARA MASHINANI: Kilimo cha mboga za aina tofauti kimesaidia aweze kulipia wanawe karo

Na CHARLES ONGADI WAKULIMA wengi Kaunti ya Kisumu walikuwa na dhana kwamba kilimo cha mboga hakiwezi kushamiri kama ilivyo kwa kilimo...

Wanawake Kiambu wahimizwa kuzingatia teknolojia mpya

Na LAWRENCE ONGARO KIKUNDI kimoja cha wanawake Kaunti ya Kiambu kimejitolea kubuni njia rahisi ya kupata umeme kwa kutumia teknolojia...

Viongozi wamlaumu Ruto kuingilia siasa mashinani

Na BARNABAS BII na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto, anakabiliwa na uasi baridi kutoka kwa viongozi wa mashinani katika ngome yake...

SOKA MASHINANI: Athena FC yalenga kupiga hatua zaidi michezoni

Na LAWRENCE ONGARO ATHENA Youth FC ni timu ya kabumbu ambayo iliasisiswa miaka mitatu iliyopita ili kukuza vipaji vya vijana katika...

SOKA MASHINANI: Klabu ya Thika Sporting FC

Na LAWRENCE ONGARO KIKOSI cha Thika Sporting FC kinakamilisha klabu ambayo imejitokeza hivi karibuni kufanya makubwa licha ya kupitia...

SOKA MASHINANI: Timu ya Destiny FC yazidi kujikaza kisabuni kwenye Ligi

Na LAWRENCE ONGARO KUMEKUWA na hali iliyozoeleka ya kudharau timu za mashinani licha ya kwamba huko ndiko chimbuko la wanasoka ambao...