MAKALA MAALUM: Kipusa wa kwanza kutoka jamii ya Lembus kushiriki mashindano ya ulimbwende

Na SAMUEL BAYA na PHYLLIS MUSASIA WAKATI Rose Jerotich, mwenye umri wa miaka 26 alipoitwa mbele ya wazee wa jamii ya Lembus kuwasalimia...

Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano ya mbio za dunia za magari

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta, Ijumaa ametimiza mojawapo ya ahadi zake kuu kwa Wakenya alipotangaza kuwa mashindano ya magari...

Shule kutoka mataifa 8 zakongamana Juja kwa mashindano

Na LAWRENCE ONGARO SHULE za Upili kutoka nchi tofauti zilikongamana Katika shule ya Upili ya Juja Preparatory and Senior School, kwa...

Burudani ya kipekee chuoni TUM Purity Nekesa akiibuka mrembo wa mwaka

NA STEVE MOKAYA  JUMA la Maonyesho ya Kitamaduni na Urembo katika Chuo Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa (TUM) liliisha  Jumapili asubuhi...

KONOKONO: Ngonjera inayotetea haki za mtoto wa kiume

Na PATRICK KILAVUKA Haki za watoto zinapaswa kuzingatiwa pasi na kubaguliwa kijinsia kwani, mtoto ni mtoto awe wa kike au wa...

WATOTO: Anatumia umahiri wake katika usakataji densi kuikosoa jamii

Na PATRICK KILAVUKA MASIHA ya kidijitali yana manufaa na athari zake kwa jamii.  Ni kutokana na kauli kwamba uzingativu wa usasa na...

WATOTO: Japo walemavu, wamedhihirisha umahiri wao katika uigizaji na densi

Na PATRICK KILAVUKA Kweli ulemavu si hali ya kukosa uwezo kutekeleza majukumu au wajibu katika nyanja mbalimbali za maisha. Kauli hii...

WATOTO: Bingwa wa uogeleaji

Na PATRICK KILAVUKLA SIRI ya kufualu kuwa muogeleaji mahiri ni kufuata maagizo ya mkufunzi wa taaluma ya kuogelea kwani, si fani hatari...

Mwaani Girls yang’aa kwenye mashindano ya kitaifa ya uigizaji

Na ANTHONY NJAGI MTAALA mpya ni miongoni mwa masuala yaliyonaswa katika Tamasha la Kitaifa la Michezo ya Kuigiza na Filamu yanayoendelea...

Wakenya wadaka mkwanja mbio za Lagos Marathon

Na GEOFFREY ANENE WAKENYA Ronny Kiboss, Benjamin Bitok na Rodah Jepkorir walijishindia Sh4 milioni, Sh3 milioni na Sh403, 986 baada ya...