Serikali yabuni kituo cha kufuatilia habari kuhusu visa vya Covid-19 baada ya shule kufunguliwa

Na CHARLES WASONGA SERIKALI kwa ushirikiano na wadau katika sekta ya elimu, imeweka mikakati ya pamoja ya kufanikisha ufunguzi wa shule...

Matiang’i na Mutyambai waitwa Seneti kueleza sababu ya kuhangaisha maseneta

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Seneti Kenneth Lusaka Jumanne aliamuru Waziri wa Usalama Fred Matiang’i na Inspekta Jenerali wa Polisi...

IDD-UL-ADHA: Matiang’i atangaza Ijumaa ni sikukuu

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Masuala ya Ndani Fred Matiang'i ametangaza Ijumaa, Julai 31, 2020, kuwa siku ya mapumziko. Kwenye...

Puuzeni uvumi kwamba Matiang’i amelazwa hospitalini – Serikali

Na CHARLES WASONGA WIZARA ya Masuala ya Ndani Ijumaa, Julai 24 ilipuuzilia mbali habari zinazosambazwa mitandaoni kwamba waziri Fred...

Uhuru atuma Matiang’i kuonya Rais wa Somalia

Na AGGREY MUTAMBO RAIS Uhuru Kenyatta Jumapili alikubali kutuma wakuu wa usalama kukutana na Rais wa Somalia, Mohamed Farmaajo katika...

Matiang’i atosha 2022, Murathe asema

Na NDUNGU GACHANE ALIYEKUWA naibu mwenyekiti wa chama cha Jubilee David Murathe amemsifu Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiangi...

Wabunge wa Kisii sasa wanamtaka Matiang’i ajiuzulu

Na CHARLES WASONGA WABUNGE kutoka eneo la Gusii wanaoegemea mrengo wa Tangatanga wamemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’I...

Mfalme wa Kisii

CHARLES WASONGA na RUTH MBULA WAZIRI wa Usalama Fred Matiang’i, ameibuka kuwa mfalme mpya wa jamii ya Wakisii, kiasi cha wabunge wa...

Uhuru anavyotumia Matiang’i kuzima Ruto

Na BENSON MATHEKA SASA ni wazi kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang'i ndiye anayetumiwa na Rais Uhuru Kenyatta kumzima Naibu...

Wizara ya Matiang’i inaongoza kwa ufisadi – EACC

Na BENSON MATHEKA WIZARA ya Usalama wa Ndani ndiyo fisadi zaidi nchini, utafiti wa hivi punde wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...

Baadhi ya wabunge watetea Matiang’i na Kibicho

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wa Jubilee wanaoegemea mrengo wa 'Kieleweke' wamemtaka Niabu Rais William Ruto kukubali kushindwa kwa mgombea...

Wabunge wamtaka Matiang’i afute Kinoti, avunje Flying Squad

RICHARD MUNGUTI na CHARLES WASONGA WABUNGE Jumanne wamemtaka Waziri wa Ulinzi Dkt Fred Matiang’i amsimamishe kazi Mkurugenzi wa Idara...