Magavana hawakuhusishwa katika mradi wa ukodishaji wa vifaa vya matibabu – Oparanya

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA wamesema kuwa serikali ya kitaifa haikuwahusisha katika mpango wa ukodishaji wa vifaa vya matibabu (MES) na...

Watalii wajumuika na wakazi kwa matibabu ya bure

NA KALUME KAZUNGU HAFLA ya mwaka huu ya Maulid ya Lamu iliyokamilika mwishoni mwa juma iliwanufaisha pakubwa watalii na wenyeji zaidi ya...

Matibabu ya figo yaanza Lamu

NA KALUMEKAZUNGU KAUNTI ya Lamu kwa mara ya kwanza katika historia imeanzisha matibabu ya figo kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa vifaa maalum...

AFYA: Wenye mapato ya chini wazidi kufaidika na matibabu ya bure

NA FAUSTINE NGILA GHARAMA ya maisha inayopanda kila uchao humu nchini sasa imewasukuma wakazi wa mabanda ya mijini kukoma kulipia ada za...

LAMU: KDF yatoa matibabu ya bure kwa wakazi 500

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI zaidi ya 500 kutoka Kotile na viungani mwake walipokea matibabu ya bure kutoka kwa maafisa wa jeshi (KDF) kama...

‘Miguna atarejea Kenya baada ya matibabu nchini Canada’

Na CHARLES WASONGA WAKILI mtatanishi Miguna Miguna amewasili jijini Toronto, Canada, Jumatatu baada ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa...

Wagonjwa 400 wanufaika na matibabu ya bure

[caption id="attachment_3946" align="aligncenter" width="800"] Hospitali Kuu ya King Fahad mjini Lamu ambako matibabu ya bure yalifanyika....

Joho amtembelea Miguna hospitalini Dubai

WINNIE ATIENO na CHARLES WASONGA GAVANA wa Mombasa Ali Hassan Joho Alhamisi alimtembelea mwanaharakati wa NASA Dkt Miguna Miguna ambaye...

Bodi ya KNH imeshindwa na kazi, nyingine iundwe, kamati yapendekeza

[caption id="attachment_3287" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kuhusu Afya, Bi Sabina Chege. Picha/...

Mzee Moi arejea nchini baada ya matibabu Israeli

Na WYCLIFFE KIPSANG RAIS Mstaafu Daniel Moi alirejea nchini Jumamosi usiku baada ya kupokea matibabu nchini Israeli. Kulingana na...

Moi asafirishwa Israeli kwa matibabu ya dharura

Na WANDERI KAMAU na WYCLIFF KIPSANG RAIS Mstaafu Daniel Moi Jumapili alisafirishwa nchini Israeli kupata matibabu ya dharura. Ripoti...