Nabulindo aapishwa rasmi mbunge wa Matungu

Na CHARLES WASONGA MBUNGE mpya wa Matungu Peter Oscar Nabulindo aliapishwa Alhamisi ili aweze kutekeleza majukumu yake rasmi kama...

Ni kubaya 2022!

Na WAANDISHI WETU GHASIA zilizotawala chaguzi ndogo zilizoandaliwa jana zimetoa taswira hatari na ya kutisha huku uchaguzi mkuu wa 2022...

Nabulindo aahidi kuunganisha wakazi wa Matungu

Na SAMMY WAWERU MBALI na kufanya maendeleo Matungu nitajikakamua kuunganisha wakazi kufuatia migawanyiko ya kisiasa iliyojiri, amesema...

Malala alia kuna wizi wa kura Matungu

Na SAMMY WAWERU SENETA wa Kakamega Cleophas Malala amesema chama cha ANC hakitakubali matokeo ya kura ya eneobunge la Matungu, Kaunti ya...

Echesa anaswa akimzaba kofi afisa wa IEBC katika uchaguzi mdogo Matungu

Na SAMMY WAWERU ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Eshesa amejipata pabaya baada ya kunaswa akimzaba kofi mmoja wa afisa wa Tume Huru ya...

Kampeni za Matungu zaingia hatua ya lala-salama

Na SHABAN MAKOKHA WAGOMBEAJI wa ubunge katika eneo la Matungu, Kaunti ya Kakamega, wako katika harakati za mwisho za kampeni zao,...

UDA yapigwa jeki uchaguzi Matungu

Na SHABAN MAKOKHA MMOJA wa wagombeaji wa ubunge katika eneo la Matungu, Kaunti ya Kakamega, amejiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho...

Kura ya Matungu kipimo cha umaarufu wa Mudavadi

Na LEONARD ONYANGO UCHAGUZI mdogo wa ubunge katika eneobunge la Matungu, Kaunti ya Kakamega, kitakuwa kipimo cha umaarufu wa kiongozi wa...

TANZIA: Mbunge wa Matungu Justus Murunga afariki

NA SHABAN MAKOKHA na WANGU KANURI Mbunge wa Matungu, Justus Murungu amefariki Jumamosi usiku alipokuwa akikimbizwa katika Hospitali ya...

Uamuzi kushu operesheni Matungu kutolewa

BENSON AMADALA na IVYN NEKESA MAAFISA wa usalama katika Kaunti ya Kakamega watakutana Jumatatu kuamua ikiwa operesheni ya usalama...

Askofu akamatwa kuhusiana na mauaji ya Matungu

Na SHABAN MAKOKHA KIONGOZI wa kidini amekamatwa kuhusiana na mauaji yanayotekelezwa na genge katika eneobunge la Matungu, Kaunti ya...

Utovu wa usalama Matungu wazidi mtoto wa miaka 7 akiuawa

Na PETER MBURU HALI ya utovu wa usalama katika eneo la Matungu, Kaunti ya Kakamega imezidi kutokota licha ya wakuu wa usalama kuzuru...