Mashujaa wa Mau Mau waomba makahama kuu imkomoe Ruto

Na RICHARD MUNGUTI SHUJAA wa vita vya Mau Mau jana aliwasilisha katika Mahakama kuu kesi ya kumtimua kazini Naibu wa Rais Dkt William...

Kilio cha wazee wa MauMau Kirinyaga

Na SAMMY WAWERU KWA zaidi ya miaka 58 Mzee Boniface Ngacha amekuwa akiishi katika kipande cha shamba alichorithi kutoka kwa wazazi...

Serikali yalaumiwa kusaliti Mau Mau, familia ya Kimathi

Na NICHOLAS KOMU WAHANGA wa Mau Mau pamoja na familia ya Dedan Kimathi sasa watafuatilia haki kivyao baada ya kuhisi kusalitiwa na taifa...

Serikali yatakiwa kusaka mabaki ya Kimathi, Samoei na Menza

Na MWANGI MUIRURI MASHUJAA wa vita vya ukombozi (Mau Mau) sasa wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta aifanye mada kuu ya kiserikali kusaka...

‘Aliyemzika’ Dedan Kimathi asimulia shujaa alivyosalitiwa

Na MWANGI MUIRURI IKIWA kuna jina ambalo huheshimika zaidi katika jamii ya Agikuyu, ni lile la Dedan Kimathi ambaye alikamatwa na...

Mzee Kenyatta alituchezea shere kuhusu mashamba, wasema Mau Mau

Na MWANGI MUIRURI MANUSURA wa vita vya ukombozi wa taifa hili wamemtaka rais Uhuru Kenyatta awaelezee mashamba ambayo walikuwa watuzwe...

Mau Mau walia watambuliwe kisheria kwa ‘kumwaga damu’ kuikomboa Kenya

Na PETER MBURU WAZEE wa Muungano wa Mau Mau, ambao ulipigania ukombozi wa Kenya kutoka mikononi mwa wakoloni sasa wanataka taifa...

Mashujaa wa Mau Mau kutunukiwa mashamba

Na CHARLES WANYORO SERIKALI ya kaunti ya Embu imeanza kuwakagua wazee wanaodai kuwa walipigana katika vita vya Mau Mau, ili kubaini...

WANDERI: Je, matatizo yetu ni ‘laana’ ya Mau Mau?

Na WANDERI KAMAU SIKU chache kabla ya kukumbana na mauti yake, marehemu babu yangu alinieleza kuhusu masikitiko makubwa aliyokuwa nayo...

Field Marshal Muthoni: Tusijidaganye kuwa tumepata uhuru

Na JOSEPH WANGUI Kwa ufupi: Field Marshal Muthoni asema hata Sh2,000 za kila mwezi kwa wazee walio na umri wa zaidi ya miaka 65...

Mau Mau wadai walificha hazina ya siri kuu Mlima Kenya, wataka kukutana na Rais Kenyatta

[caption id="attachment_1979" align="aligncenter" width="800"] Kutoka kushoto: Jenerali Kiambati, mwanawe Solomon Kiambati na Brigedia...