2022: Wanasiasa wachochea mauaji

FRANCIS MUREITHI NA JOSEPH OPENDA MAANDALIZI ya kuwania vyeo vya kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa 2022, yameibuka kuwa kiini kikuu cha...

Msitu wa Mau kuzungushiwa ua kuanzia Aprili – Natembeya

Na SAMUEL BAYA MPANGO wa kuweka ua kuuzunguka msitu wa Mau eneo la Narok utaanza Aprili, mratibu wa shughuli za serikali Bonde la Ufa,...

Kenya kusutwa na AU kuhusu maskwota wa Mau

RICHARD MUNGUTI na JUSTUS WANGA UHUSIANO wa Kenya na Umoja wa Mataifa ya Afrika (AU) umetiwa doa baada ya Serikali kukaidi agizo la...

Tume kuhusu haki yaitaka serikali kutumia mbinu za kiutu Mau

Na MAGDALENE WANJA SERIKALI ya Kenya imeshtakiwa katika Tume ya Afrika kuhusu Haki za Kibinadamu na za Watu kwa kufurusha waliokuwa...

Walowezi kufurushwa katika misitu 18 – Tobiko

Na GEORGE MUNENE SERIKALI inapanga kuwafurusha watu wote wanaoishi kinyume cha sheria katika maeneo 18 yaliyotengwa na serikali kama...

Polisi wazima mkutano Bomet kujadili Mau

Na VITALIS KIMUTAI USALAMA uliimarishwa Jumamosi mjini Bomet baada ya polisi kupiga marufuku mkutano uliopangwa na wanasiasa mbalimbali...

Waliofurushwa Mau wapewe ardhi – Wabunge

NA VITALIS KIMUTAI VIONGOZI kutoka Kaunti ya Bomet wametoa wito kwa serikali kutwaa ekari nyingi za ardhi ambazo zilitolewa kwa familia...

Wanyakuzi wa Mau kushtakiwa, Kamishna asema

KEN OPALA na JULIUS SIGEI SERIKALI sasa iko tayari kushtaki watu wenye ushawishi mkubwa nchini ambao walihusika katika unyakuzi wa...

MAU: Wabunge wataka Tobiko awaandame ‘samaki wakubwa’

Na CHARLES WASONGA WABUNGE watatu kutoka Rift Valley sasa wako tayari kuunga mkono mpango wa serikali wa kuwaondoa watu walionyakua...

Tunatambua umuhimu wa Mau, watu wafurushwe – Chepkut

Na Titus Ominde MBUNGE wa Ainabkoi Bw William Chepkut ameunga mkono kufurushwa kwa watu kutoka Msitu wa Mau lakini akaomba shughuli hiyo...

Rais alipitisha walowezi wahamishwe Mau – Oguna

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imewazima wanasiasa wanaotetea wakazi walioagizwa kuhama msitu wa Mau, Kaunti ya Narok, ikisema hatua hiyo...

Mau: Murkomen awakaripia Tobiko na Natembeya

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wengi katika Seneti Kipchumba Murkomen amemsuta Waziri wa Mazingira Keriako Tobiko kwa kuendeleza kuamuru...