Pochettino matumaini juu PSG ikigaragazana na Lille katika Kombe la Tel Aviv

Na MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino ameweka matumaini juu kwa klabu yake Paris Saint German, washindi wa French Cup wakisubiri...

Kutokuwepo kwa Mbappe si kisingizio cha PSG kupigwa na Manchester City – Pochettino

Na MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino amefutilia mbali madai kwamba kutokuwepo kwa fowadi Kylian Mbappe katika kikosi chake cha Paris...

Pochettino aanza kazi ya ukocha PSG kwa sare dhidi ya St-Etienne ligini

Na MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino alishuhudia mechi yake ya kwanza kusimamia kambini mwa Paris Saint-Germain (PSG) ikikamilika kwa...

PSG wamwajiri kocha Pochettino kwa mkataba wa miezi 18

Na MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino, 48, amepokezwa rasmi mikoba ya kikosi cha Paris Saint-Germain (PSG) cha Ligi Kuu ya Ufaransa...

Kocha Pochettino kumsajili Dele Alli mwezi huu wa Januari akianza kudhibiti mikoba ya PSG

Na MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino anatarajiwa kumfanya kiungo Dele Alli wa Tottenham Hotspur kuwa sajili wake wa kwanza kambini mwa...

Henry, Pochettino, Koeman na Xavi kati ya makocha wanaohusishwa na mikoba ya Barcelona

Na CHRIS ADUNGO NGULI wa soka wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, 42, ni miongoni mwa wakufunzi wanaohusishwa na...

Newcastle washauriwa kumpuuza Pochettino na kumpa Benitez mikoba yao ya ukocha

Na CHRIS ADUNGO NEWCASTLE United wameshauriwa kutompa kocha Mauricio Pochettino mikoba yao ya ukocha kwa sababu “hajawahi kushinda...

Kocha Mauricio Pochettino sasa yuko huru kujiunga na klabu anayotaka

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Mauricio Pochettino sasa yuko huru kujiunga na klabu anayotaka bila vikwazo kutoka kwa waajiri wake wa zamani...

Pochettino asema haogopi kupigwa kalamu na Tottenham Hotspur

Na MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA KOCHA Mauricio Pochettino amesema haogopi kutimuliwa na usimamizi wa Tottenham Hotspur kutokana na...