Manangoi kutumia mbio za Maurie Plant kupima uwezo wake wa kuwika Diamond League na Olimpiki

Na CHRIS ADUNGO BINGWA wa zamani wa dunia katika mbio za mita 1,500 Elijah Manangoi amesema atatumia mbio zijazo za Maurie Plant...