Majonzi watoto 60 waliokufa kwenye shambulio wakizikwa

Na AFP IDADI ya wasichana wa shule waliofariki mabomu yalipolipuka nje ya shule yao katika eneo wanakoishi Waislamu wa Shia jijini...

Mapuuza yazua mauti shuleni

Na VALENTINE OBARA SHULE ya Msingi ya Precious Talents iliyo katika Wadi ya Ngando, eneobunge la Dagoretti Kusini ilikuwa sawa na mtego...

Inspekta Mwala alimuua jamaa wetu, hafai kuachiliwa kwa Sh30,000, familia yalia

NA MOHAMED AHMED FAMILIA ya mwanamume aliyeuawa kwa kugongwa na gari na mwigizaji Davis Mwabili maarufu kama Inspekta Mwala,...

MARADHI: Uchungu wa kuwapoteza uwapendao

NA RICHARD MAOSI CHARLES Maina mwenye miaka 69 kutoka eneo la Bahati, Kaunti ya Nakuru anakumbuka kama jana, uchungu wa kupoteza wake...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Kadri maafa mengi yanavyotokea duniani tunafaa tuandae nafsi zetu kwa mauti

Na ALI HASSAN KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na neema ndogondogo. Tumejaaliwa leo hii, siku hii kubwa ili...

Mshubiri wa Krismasi kwa familia baada ya mauti kubisha

Na LUCY MKANYIKA na GERALD BWISA FAMILIA mbili katika kaunti za Taita Taveta na Trans Nzoia zinaomboleza kufuatia mikasa wakati wa...

BWAWA LA MAUTI: Watu 44 waangaamia kwenye mkasa Nakuru

MAGDALENE WANJA na ERIC MATARA Kwa Muhtasari: Wakazi walisikia mlipuko mkubwa kabla ya maji kusomba nyumba zao pamoja na makaziĀ  ...

Mvua ya mauti watu 22 wakiangamia

Na WAANDISHI WETU ZAIDI ya watu 22 walifariki dunia Jumanne kwenye mikasa miwili tofauti inayohusiana na mvua, huku idara ya utabiri wa...

Uchungu wa manusura ndani ya jengo Ruai

Na BERNARDINE MUTANU WATU wawili walikwama ndani ya vifusi vya jumba lililoporomoka Jumamosi asubuhi mtaani Ruai, jijini Nairobi kwa...