MAWAIDHA YA KIISLAMU: Wakati ni amana na rasilimali kubwa kwa mwanadamu

NA ALI HASSAN SIFA zote njema anastahiki MolaMtukufu, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyingine ndogondogo. Swala na salamu...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Baraka zinazoletwa na mazoea ya kumkumbuka Mwenyezi Mungu kila wakati

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu, mwenye kuneemesha neema ndogondogo na nyingine kubwakubwa. Swala na salamu...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Umuhimu wa kutoa zakah katika jamii ya Kiislamu

Na HAWA ALI MOJA katika mipangilio ni kwamba kila kitu kilichopo ni Chake Allaah (Subhaanahu Wata’ala) na kumilikiwa na binadamu kama...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Tumuige Mtume kutimiza ahadi zetu kikamilifu

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mola Subuhaanahu Wataala, Mola wa viumbe wote duniani na akhera. Swala na salamu zimwendee...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Mola Subuhaanahu Wata’ala ndiye mmiliki pekee wa siri za maisha waja wake

Na ALI HASSAN KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Kwa kudra zake Maulana tumejaaliwa...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Baadhi ya njia ambazo Mu’umin atatumia kuimarisha imani yake

Na HAWA ALI KILA sifa njema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe vyote. Sala na salamu zimuendee Mtume wetu Muhammad (swalla Allahu...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Hukumu ya Zakatul Fitr na namna ya kuitoa kabla ya Swala ya Idd-ul-Fitri

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mungu Azzawajalla, Mwenye kuneemesha sifa kubwakubwa na nyingine ndogondogo. Swala na salamau...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Rais Uhuru alionyesha heshima kubwa kusitisha hotuba yake Adhan ilipoanza

Na ALI HASSAN KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa na neema ndogo ndogo. Tumejaaliwa leo hii kukutana katika...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Waislamu walinde umoja, undugu kulingana na mafunzo ya kidini

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mola Azzawajalla. Swala na salamu anastahiki Mtume Muhammad Swallallahu Alayhi Wasallam...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Husuda ni donda linalotoneshwa na neema, fanaka za wanadamu

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mungu, Muumba wa mbingu na nchi. Swala na salamu zimwendee Mtume Muhammad, SAW, maswahaba wake...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Nguzo tano za Uislamu ni mfumo wa maisha ya kawaida kwa Muumini

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mungu Azzawajalla, swala na salamu zimwendee Mtume Mtukufu Swallallahu A’alayhi...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Mja akifuata taratibu za toba, Allah atamsamehe madhambi yake yote

Na HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mola Subuhaanahu Wataala, Swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad Swallallahu Alayhi...