MAZINGIRA NA SAYANSI: Mafuriko husababisha msongo wa mawazo

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI mnamo Desemba ilitangaza kuwa imetenga Sh6.1 bilioni kwa ajili ya kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Moshi wa mafuta ya dizeli unasababisha nimonia – Utafiti

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA zaidi ya 15,000 walihusika katika ajali za barabarani mwaka 2019. Kati yao 3,400 walifariki huku wengine...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Magari na ndege zinazotumia umeme kuteka mwaka 2020

Na LEONARD ONYANGO IKIWA wewe hupendelea kusafiri, kuna uwezekano mkubwa kwamba huenda ukaabiri ndege au gari lisilotumia mafuta kabla...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Watoto kucheza na mchanga ni hatari kwa afya zao

Na LEONARD ONYANGO WATOTO wako wanachelewa kukua, hawafanyi vyema shuleni au wanapoteza fahamu bila sababu? Huenda ‘wamerogwa’ na...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Taa za mitaani ni hatari kwa wadudu, utafiti waonyesha

Na LEONARD ONYANGO HUKU serikali za Kaunti na Kitaifa zikiwa mbioni kuweka taa mitaani kuwezesha Wakenya kufanya biashara zao usiku na...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Mombasa hatarini kuzama baharini, wataalamu waonya

Na LEONARD ONYANGO JIJI la Mombasa huenda likazama baharini ndani ya kupindi cha miaka 30 ijayo, wanasayansi wameonya. Utafiti...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Vipodozi vyarembesha ila pia hatari kwa mazingira

Na LEONARD ONYANGO IKIWA ungali unadhani kwamba kujipodoa ni kwa akina dada tu, basi hujatembea mijini. Katika miaka ya hivi karibuni...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Vifaa vya kielektroniki vina sumu hatari

Na LEONARD ONYANGO WANARIADHA 11,090 kutoka nchi 206, ikiwemo Kenya, wanaendelea na maandalizi motomoto kwa ajili ya makala ya 2020 ya...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Ufugaji wa vipepeo una faida tele

Na MAGDALENE WANJA LICHA ya kushuhudiwa uharabifu mkubwa wa misitu katika sehemu nyingi nchini, jamii zinazoishi katika eneo la...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Je, washangaa kwa nini mende wameganda kwako?

Na LEONARD ONYANGO UNAPOPITA mitaani hasa jijini Nairobi, hutakosa kusikia wachuuzi wakiita wateja kununua dawa ya mende; “Dawa ya...