LEONARD ONYANGO: Wawaniaji urais walipe uzito suala la mabadiliko ya tabianchi

Na LEONARD ONYANGO HUKU Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 ukinukia, wanasiasa wanaomezea mate urais wamekuwa wakizunguka kila pembe ya...

TAHARIRI: Uhifadhi mazingira usiwe ni siku moja

NA MHARIRI MNAMO Jumamosi, Wakenya walijiunga na dunia nzima kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Kama kawaida, viongozi na wananchi...

Uhuru azindua kampeni ya uboreshaji wa mazingira Nairobi

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amezindua kampeni ya kurejesha hadhi ya Jiji la Nairobi kupitia uhifadhi wa mazingira; hatua...

Sehemu iliyokuwa imegeuzwa dampo hatari Githurai 44 yaokolewa

Na SAMMY WAWERU HATIMAYE eneo lililokuwa limegeuzwa dampo mtaani Githurai 44 katika Kaunti ya Nairobi kwa muda mrefu limetwaliwa...

SHINA LA UHAI: Corona si hatari tu kwa afya bali pia mazingira

Na LEONARD ONYANGO VIDEO ya mwanaume aliyeonekana akisafisha barakoa/maski zilizotumika iliwatia hofu Wakenya ilipochipuza katika...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Vitu vinavyoweza kuleta virusi vya corona nyumbani

Na LEONARD ONYANGO VIRUSI vya corona vinaenea kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia kusalimiana kwa mikono, kugusana na kuwa karibu...

Dow yashirikiana na ChildFund kuwapa watoto motisha kuhifadhi mazingira

Na MAGDALENE WANJA KATIKA juhudi za kuwaweka watoto katika hali ya wao kujenga mazoea ya kutunza mazingira, kampuni ya Dow Chemical...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Mifuko yaundwa kwa mihogo katika juhudi kutunza mazingira

Na LEONARD ONYANGO MIFUKO ya plastiki iliyopigwa marufuku na serikali mnamo 2017 huenda ‘ikarejea’ sokoni humu nchini. Lakini...

Amerika yaanza mchakato rasmi kujiondoa katika makubaliano ya mazingira ya Paris

Na MASHIRIKA Na WASHINGTON D.C., AMERIKA AMERIKA imetaarifu Umoja wa Mataifa (UN) kwamba inataka kujiondoa rasmi katika Mkataba wa...

Wanamazingira wa Kenya wajiunga na wenzao duniani kuhimiza umuhimu wa uhifadhi mazingira

Na MAGDALENE WANJA WAHIFADHI mazingira wa Kenya wamejiunga na wenzao kutoka nchi mbalimbali katika mjadala unaoendelea kuhusu ongezeko...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Umuhimu wa nyuki kwa chakula na mazingira

Na LEONARD ONYANGO KUNA uwezekano kwamba serikali inachangia katika kudorora kwa uzalishaji wa chakula nchini. Hii inatokana na hatua...

Wakenya wawili watuzwa kimataifa kwa juhudi zao za kuhifadhi mazingira

Na MAGDALENE WANJA Wakenya wawili wametuzwa kwa juhudi zao za kuhifadhi mazingira katika Kongamano kuhusu Biashara ya Kimataifa ya...