Maangi na Osoro wakamatwa katika mazishi ya Nyachae

Na SAMMY WAWERU Mbunge wa Mugirango Kusini, Bw Silvanus Osoro na Naibu Gavana wa Kisii Joash Maangi wamekamatwa na maafisa wa polisi...

Dkt Mutua awataka wanasiasa kuheshimu familia za waliofiwa

Na SAMMY WAWERU Gavana wa Machakos Dkt Alfred Mutua amewakashifu vikali viongozi na wanasiasa wanaoendesha siasa katika hafla za...

Matamshi ya Arati yalinikera, pikipiki yangu ilichomwa 2007, Osoro sasa ajitetea

Na SAMMY WAWERU Mbunge wa Mugirango Kusini Silvanus Osoro amejitetea kuhusu kisa ambapo alipigana hadharani na mwenzake wa Dagoretti...

Aibu wabunge wakilimana makonde mazishini

Na SAMMY WAWERU Hafla ya mazishi ya babake Naibu Gavana wa Kisii, Bw Joash Maangi, Mzee Abel Gongera Jumatatu iligeuka kuwa ukumbi wa...

Wanasiasa wakosa adabu mazikoni

Na KITAVI MUTUA WANASIASA mnamo Jumanne waligeuza mazishi ya Seneta Boniface Kabaka wa Machakos kuwa jukwaa la kurushiana cheche za...

Kizaazaa muuaji wa marehemu kujitokeza mazishini

Na MAGDALENE WANJA Kizaazaa kilitibuka katika makaburi ya Wanyororo eneo la Bahati, kaunti ya Nakuru siku ya Alhamisi wakati wa...

Wakenya washauriwa kuchukua bima ya mazishi

Na BERNARDINE MUTANU WAKENYA wameombwa kuchukua bima ya mazishi ili kuwafaa zaidi wanapopatwa na msiba. Shirikisho la Watoaji Bima nchini...

Jombi aumia mazishini aking’ang’ania chakula

Na TOBBIE WEKESA SHIANDA, KAKAMEGA  Kalameni mmoja eneo hili alipata majeraha usoni alipogongwa kwa sahani  na jamaa mmoja...