Wahubiri wataka michango ya wanasiasa kanisani itolewe kisiri

Na VALENTINE OBARA VIONGOZI wa dini nchini sasa wamependekeza kuwa michango ya wanasiasa makanisani na katika taasisi nyingine za kidini...

Waziri na wabunge 13 watoa Sh1,216 pekee kwa mchango

KIBOGA, UGANDA Na JOSEPH KATO WAKAZI wa kijiji cha Kibiga, Wilaya ya Kiboga, walipigwa na butwaa Jumanne wakati Waziri wa Jinsia, Peace...

Ruto afuta ziara ya harambee katika shule ambako wazazi wanapunjwa

Na NDUNGU GACHANE NAIBU Rais William Ruto, amefutilia mbali ziara ya Shule ya Upili ya Murang’a ambapo alitarajiwa kuongoza mchango...

Niliporwa mamilioni niliyochangiwa na Wakenya – Miguna Miguna

Na CHRIS WAMALWA MWANAHARAKATI wa vuguvugu la NRM, Miguna Miguna amedai kuibiwa Sh2 milioni alizochangiwa na Wakenya wanaoishi...

Miguna Miguna sasa awaomba Wakenya wamchangie hela arudi nchini

Na WYCLIFFE MUIA WAKILI Mbishi Miguna Miguna sasa anawaomba Wakenya wakarimu wamchangie pesa za nauli ya ndege ili aweze kurejea nchini...

Familia yakabiliwa na mzigo wa kulipia upasuaji wa binti yao

Na PETER MBURU Kwa Muhtasari: Babake Jane Wacuka, aliamua kumgawia sehemu ya ini lake asimwone akiteseka tena Familia hiyo...