Raila, Ruto kukaa jukwaa moja mkutano wa BBI

GITONGA MARETE na WANJOHI GITHAE MACHO yote yataelekezwa Meru Jumamosi ijayo Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM watakapokutana...

Kiraitu, Linturi kulinda Meru ‘isivamiwe’ kisiasa

Na DAVID MUCHUI VIONGOZI wa kisiasa katika Kaunti ya Meru wameapa kulinda eneo hilo dhidi ya ‘uvamizi’ wa wapinzani wao, huku...

Suala la mpaka wa kaunti lazua tofauti kati ya wazee

GITONGA MARETE Na ALEX NJERU MZOZO unatokota kati ya Kaunti za Meru na Tharaka-Nithi, baada ya wazee wa baraza la Njuri Ncheke eneo la...

Ajenda Nne Kuu: Kijana airai serikali imkubalie azindue kiwanda cha mvinyo wa miraa

Na FAUSTINE NGILA MARUFUKU ya Uingereza na Somaliland dhidi ya miraa kutoka Kenya iliwaacha wakulima wengi katika kaunti ya Meru katika...

Gunia la miraa latolewa kanisani kama sadaka

Na LEAH MAKENA MUTUATI, MERU Polo wa eneo hili alishangaza waumini wa kanisa moja kwa kupeleka gunia la miraa kanisani kama sadaka ya...

Mwili wa mwanamke aliyetoweka wapatwa umezikwa shambani

Na PETER NJERU MWILI wa mwanamke aliyepotea kwa karibu wiki moja ulipatikana Jumapili ukiwa umezikwa kwenye shamba la mahindi katika...

Kaunti za Meru na Embu zapigania miraa

DAVID MUCHUI na CHARLES WANYORO SERIKALI za Kaunti za Embu na Meru zinazozania Sh2.2 bilioni zilizotolewa kuwafaa wakulima wa miraa...

Shinikizo Naibu Chansela ajiuzulu kufuatia mauaji ya mwanachuo

Na DAVID MUCHUI MAUAJI ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Meru Evans Njoroge (pichani kushoto), yamezua...