Messi aongoza PSG kuponda Lille na kufungua mwanya wa alama 13 kileleni mwa Ligue 1

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alifunga bao lake la pili katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) mnamo Jumapili usiku aliposaidia waajiri wake...

Messi aweka rekodi ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya saba

Na MASHIRIKA FOWADI wa Paris Saint-Germain (PSG) na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, ameweka rekodi ya kutwaa tuzo ya Ballon...

Messi kuondoka Barcelona

Na MASHIRIKA BARCELONA wamethibitisha kwamba nyota Lionel Messi hatasalia kambini mwao muhula huu kwa sababu ya “changamoto za kifedha...

Argentina na Chile watoka sare ya 1-1 kwenye mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2022

Na MASHIRIKA ARGENTINA walipoteza fursa ya kuwapita Brazil kileleni mwa jedwali la vikosi vinavyowania tiketi ya kufuzu kwa fainali za...

Messi apewa kadi nyekundu ya kwanza akichezea Barca

Na MASHIRIKA LIONEL Messi, 33, alionyeshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza akiwa mchezaji wa Barcelona katika fainali ya Spanish Super...

Messi acheka na nyavu katika ushindi mwembamba wa Barcelona dhidi ya Levante

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alifungia Barcelona bao la pekee na la ushindi dhidi ya Levante katika Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) mnamo...

Ishara Guardiola ataungana upya na Messi Barcelona 2021

CHRIS ADUNGO Na MASHIRIKA MFANYABIASHARA Victor Font ambaye anapigiwa upatu kuwa Rais mpya wa Barcelona, amesema kwamba kubwa zaidi...

Messi alilipwa Sh13.7 bilioni msimu uliopita

Na MASHIRIKA LIONEL Messi ndiye mwanasoka anayedumishwa kwa mshahara wa juu zaidi duniani kufikia sasa mwaka huu. Haya ni kwa mujibu wa...

Messi achezea Barcelona kwa mara ya kwanza tangu kuhama kwake kutibuke

Na MASHIRIKA LIONEL Messi, 33, alichezea Barcelona kwa mara ya kwanza tangu jaribio lake la kuagana na miamba hao wa soka ya Uhispania...

Messi afunga Barcelona wakirejelea La Liga kwa kishindo

Na CHRIS ADUNGO BARCELONA walifunga bao katika sekunde ya 66 ya kurejelea kwao kampeni za Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) na kupata...

Barcelona yathibitisha Messi, Suarez na Umtiti wamepona

CHRIS ADUNGO na MASHIRIKA VIGOGO Luis Suarez na Lionel Messi wanatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Barcelona kitakachovaana na Real...

La Liga sasa kurejelewa Juni 12

Na MASHIRIKA RAIS wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga), Javier Tebas amefichua mipango ya kurejelewa kwa kampeni za kipute hicho msimu huu...