Mganga ataka shirika limrejeshee Sh18.5m

Na BRIAN OCHARO MGANGA wa kienyeji, Bw Stephen Vicker Mangira amewasilisha ombi mahakamani kutaka shirika la serikali la kuzuia mali za...

Mimi si mchawi – Raila Odinga

LEONARD ONYANGO na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa ODM, Bw Raila Odinga jana aliendeleza juhudi za kuimarisha uhusiano kati yake na viongozi...

Mganga aliyefumaniwa akiwa uchi kukaa rumande zaidi

Na Lucy Mkanyika MGANGA wa dawa za kienyeji mwenye umri wa miaka 71 katika Kaunti ya Taita Taveta, jana alishtakiwa katika mahakama ya...

Mganga azirai mkewe alipookoka

Na John Musyoki KAVATI, Kitui MGANGA wa hapa alianguka na kuzirai baada ya kugundua kwamba mke wake alikuwa ameokoka katika njama ya...

Mganga ataka nguo za marehemu

Na JOHN MUSYOKI KYETENI, MASINGA KIOJA kilishuhudiwa baada ya mazishi hapa mganga alipotimuliwa mbio alipotaka akabidhiwe nguo za...

Afuta harusi kugundua baba mkwe ni mganga

NA JOHN MUSYOKI KIRITIRI, EMBU JAMAA wa hapa alikatiza mpango wa kuoa kwa harusi alipogundua kwamba baba ya demu aliyekuwa akichumbia...

Mganga wa TZ anayedai kufufua maiti akamatwa Taveta

Na LUCY MKANYIKA POLISI mjini Taveta, Kaunti ya Taita Taveta wamemtia mbaroni mwanamume aliyedai kumfufua kijana aliyefariki miaka...

Mganga aonya pasta kwa kumchomea biashara

Na TOBBIE WEKESA HAMISI, VIHIGA KIOJA kilizuka eneo hili baada ya mganga kumshambulia pasta akimlaumu kwa kumharibia...

Mganga amchemsha mtoto mchanga na kumuua akidai ni tiba

Na GERALD BWISA POLISI mjini Kitale, Kaunti ya Trans Nzoia wamemkamata daktari wa kienyeji ambaye anatuhumiwa kumuua mtoto wa mwaka...

Mganga alazimika kurudisha mbuzi wa mteja

 Na MIRRIAM MUTUNGA NJUKINI, TAITA TAVETA MGANGA wa hapa alijipata pabaya baada ya jamaa kupiga kambi kwake akimtaka amrudishie...

Mganga atibua njama ya stima yake kukatwa

 Na DENNIS SINYO Majengo, Sabatia AJENTI wa nyumba za makazi mtaani hapa aliyeenda kukata stima katika nyumba ya mganga, aliondoka...

Kipusa taabani kuuza mali apate hela za mganga

Na TOBBIE WEKESA Kapolok, Teso KIPUSA aliyekuwa ameolewa na polo mmoja wa eneo hili alitolewa kijasho alipotakiwa kuelezea sababu...