Beki Mandela apata hifadhi nchini Afrika Kusini huku Kibwage akiingia katika sajili rasmi ya Sofapaka

Na CHRIS ADUNGO DIFENDA wa Harambee Stars, Brian Mandela Onyango ameingia katika sajili rasmi ya kikosi cha Ligi Kuu ya Afrika Kusini,...

Sofapaka wavunja benki na kumtwaa beki Kibwage kutoka KCB

Na CHRIS ADUNGO SOFAPAKA wamewapiku Gor Mahia na vikosi vingine vya haiba kubwa kutoka Zambia na Afrika Kusini katika jitihada za...

Kenya na Tanzania kufufua uhasama, mara hii kwa CHAN

Na JOHN ASHIHUNDU Vita vipya kati ya Harambee Stars na Taifa Stars ya Tanzania vinatarajiwa kufufuka hapo kesho Jumapili timu hizo...