AKILIMALI: Mkulima wa miche ya mimea asilia aliyekita kambi jijini Nairobi

Na SAMMY WAWERU LAVINGTON ni mtaa wa kifahari jijini Nairobi na wenye shughuli chungu nzima za kimaendeleo. Ni katika mtaa huo...

Ukuzaji wa miparachichi unamkimu kimaisha

Na SAMMY WAWERU Miaka miwili baada ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Masuala ya Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT), Boniface...

AKILIMALI: Ukuzaji miche unalipa

Na JOHN NJOROGE njorogejunior@gmail.com Unapoingia mji wa Elburgon kupitia barabara mbovu ya Molo- Nakuru unapata aina tofauti ya...

KILIMO: Njia bora ya kuandaa kitalu

Na SAMMY WAWERU MICHE hupandwa kwenye kitalu na kutunzwa hadi ikomae kwa uhamisho shambani. Mimea kama kabichi, spinachi, sukuma...

AKILIMALI: Biashara ya vyungu na miche ina hela kama changarawe

NA RICHARD MAOSI Ufinyanzi sawa na uchongaji vinyago kwa kutumia udongo ni sanaa ya kale miongoni mwa jamii nyingi za Afrika. Katika...

Ukuzaji wa miche ya matunda, miti na maua waendelea kuajiri vijana

Na SAMMY WAWERU KANDOKANDO mwa barabara nyingi nchini hutakosa kuona biashara tofauti zikiendeshwa. Kuanzia uoshaji wa magari,...

Ni muhimu kujiandaa kupanda miche ya miti mvua ikibisha hodi

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Mazingira imekuwa katika harakati za kuhamasisha kampeni ya upanzi wa miti ili kuafikia kigezo cha asilimia 10...

#PandaMitiPendaKenya: Safari ya kupanda miti 1.8 bilioni yang’oa nanga

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta Jumamosi alizindua kampeni kubwa ya kupanda miti takriban 1.8 bilioni kote nchini katika muda wa...