Wito wizara itoe mwelekeo kuhusu michezo ya shule

Na CHRIS ADUNGO KUREJELEWA kwa ratiba ya michezo ya shule za upili mwaka huu kutategemea na maamuzi yatakayotolewa na Wizara ya...

Kenya Simbas kualika Morocco mjin Mombasa, Uganda mjini Kakamega na Zimbabwe mjini Nakuru mwaka 2020

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI wa Mombasa, Kakamega na Nakuru watapata kufurahia mechi za kimataifa za raga ya wachezaji saba kila upande...

Kocha Baraza ala mori Sofapaka itazima Gor leo Jumatano

Na CECIL ODONGO MABINGWA wa Ligi Kuu (KPL) 2010 Sofapaka, wameapa kuzima Gor Mahia, timu hizo zitakapokabiliana leo Jumatano kwenye...

Ripoti ya BBI inavyosema kuhusu kusuka talanta za vijana chipukizi

Na JOHN ASHIHUNDU RIPOTI ya Jopo la Maridhiano (BBI) imependekeza kubuniwa kwa taasisi ya kitaifa ya kusimamia michezo ya bahati nasibu,...

Forlan astaafu rasmi kucheza soka ya dunia

Na MASHIRIKA MADRID, Uhispania ALIYEKUWA mshambuliaji hodari wa Manchester United na timu ya taifa ya Uruguay, Diego Forlan...

LIVERPOOL: Taji si lao?

Na MASHIRIKA MERSYSIDE, Uingereza MCHANGANUZI wa soka nchini hapa, Rob Smyth amebashiri kwamba Liverpool ina uwezo wa kumaliza Ligi Kuu...

Sterling aanzisha vita dhidi ya ubaguzi-rangi

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MSIMAMO mkali wa mshambuliaji Raheem Sterling wa Manchester City kuhusu ubaguzi wa rangi dhidi ya...

Mashabiki wafurahia mechi za Super 8 Nairobi

Na JOHN ASHIHUNDU MASHABIKI walipata burudani ya kutosha msimu wa Pasaka kutokana na mechi mbali mbali za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya...

Kongamano la usimamizi sekta ya michezo laanza KU

  Na LAWRENCE  ONGARO KONGAMANO  la Maswala ya Michezo la The 4th International Conference of The African Sport Management...

Angaza FC yazidi kung’aa katika ulingo wa soka

Na LAWRENCE ONGARO KLABU ya Angaza FC ni miongoni mwa timu zina makao makuu katika kitongoji cha Kiandutu, Thika, Kaunti ya...

Mashindano ya karate yapamba moto mjini Thika

Na LAWRENCE ONGARO MASHINDANO ya Karate ya Kenya Opens Championship, yalifanyika wikendi iliyopita katika...

Makiwa Kenya kumpoteza babake mwanariadha David Rudisha

Na GEOFFREY ANENE RAIS Uhuru Kenya ameongoza Wakenya kuomboleza kifo cha jagina Daniel Rudisha, babake mshikilizi wa rekodi ya dunia ya...