MAZINGIRA NA SAYANSI: Mifuko yaundwa kwa mihogo katika juhudi kutunza mazingira

Na LEONARD ONYANGO MIFUKO ya plastiki iliyopigwa marufuku na serikali mnamo 2017 huenda ‘ikarejea’ sokoni humu nchini. Lakini...

Afueni baada ya marufuku ya mifuko kusitishwa

Na RICHARD MUNGUTI WATENGENEZAJI na wauzaji wa mifuko isiyoshonwa Alhamisi walijawa na furaha baada ya mahakama kuu kufutilia mbali...

Marufuku ya mifuko yaanza rasmi

Na WINNIE ATIENO KUANZIA Aprili 1, 2019, kubeba mifuko isiyosongwa ni marufuku huku serikali ikianza msako wa waagizaji, watengenezaji...

Hii ndiyo sababu tumepiga marufuku mifuko ya sasa – NEMA

Na BERNARDINE MUTANU Sababu za kupiga marufuku mikoba ya sasa ya kubeba bidhaa ni kutokana na kuwa watengenezaji wake walikataa kufuata...

NEMA yanasa mifuko ya plastiki kutoka Tanzania

Na Winnie Atieno HALMASHAURI ya mazingira ya kitaifa (Nema), imenasa mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku iliyoagizwa kutoka nchi...