Mihadarati yasukuma vijana wengi gerezani

KALUME KAZUNGU Na FARHIYA HUSSEIN ZAIDI ya asilimia 60 ya wafungwa katika Kaunti ya Lamu ni vijana wa chini ya umri wa miaka 35, wengi wao...

Wasichana 6 watimuliwa shuleni kwa mihadarati

Na FAITH NYAMAI WASICHANA sita wamefukuzwa kutoka Shule ya Sekondari ya Karen C, Nairobi, kuhusiana na madai ya kuuza mihadarati shuleni...

MAKALA MAALUM: Wanasiasa lawamani kwa kuwapa vijana mihadarati

SIAGO CECE na FARHIYA HUSSEIN VIONGOZI wa kisiasa wamelaumiwa kwa kuzidisha matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana wakati Uchaguzi...

Mswada unaolenga kudhibiti ulanguzi wa mihadarati wapitishwa na wabunge

Na CHARLES WASONGA WALANGUZI wa mihadarati watakaopatikana na zaidi ya gramu 100 ya dawa hizo watatozwa faini ya Sh50 milioni au...

Matiang’i aahidi kuanika walanguzi wa mihadarati

Na MOHAMED AHMED WAZIRI wa Usalama wa Kitaifa, Dkt Fred Matiang’i amefichua mipango ya serikali ya kuchapisha majina ya walanguzi wa...

Mihadarati yawanyima vijana nafasi jeshini

Na SIAGO CECE IDADI kubwa ya vijana katika Kaunti ya Mombasa wamekosa nafasi kujiunga na jeshi la taifa (KDF) kwa sababu ya utumizi wa...

Mihadarati ya Sh70,000 yanaswa Nakuru

NA RICHARD MAOSI Polisi katika Kaunti ya Nakuru wamekamata vijana wanaodaiwa kuwa kundi haramu kwa jina Confirm, ambalo limekuwa...

Yaibuka polisi huuzia watoto bangi

NA MWANGI MUIRURI Mbunge wa Maragua Mary  Waithira amefichua magari ya polisi yanatumika kusafirisha madawa ya kulevya kaunyi ya...

Kiongozi wa mashtaka ajikanganya katika kesi ya bangi

Na Richard Munguti Kiongozi wa mashtaka Abel Amareba amejipata taabani kuhusu shtaka la mihadarati dhidi ya washukiwa...

Nusura mihadarati iniangamize, mwathiriwa asimulia

DIANA MUTHEU na EVERLINE AKINYI UTUMIZI wa dawa za kulevya ni mojawapo ya changamoto kubwa inayokumba wakazi wa Pwani. Kwa miaka 20,...

Ni upuuzi kusema makontena yanatumika kwa uuzaji wa mihadarati – Oguna

Na MAGDALENE WANJA Muungano wa Vituo vya Uchukuzi wa Makontena nchini (CFSA) umepuzilia mbali matamshi ya msemaji wa serikali Cyrus...

Wahalifu, walanguzi mihadarati eneo la Mlima Kenya waonywa

Na LAWRENCE ONGARO HALI ya usalama katika eneo la Juja Farm, Kaunti ya Kiambu, imezorota huku pombe haramu na mihadarati ikipatikana...