Arsenal kwenye mizani ya Sevilla EPL ikinukia

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza TIMU ya Arsenal itatumai kukamilisha matayarisho ya msimu mpya kwa kishindo itakapopepetana na Sevilla...

Wakufunzi Mikel Arteta na Jonas Eidevall watia saini kandarasi mpya kambini mwa Arsenal

NA MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta wa timu ya wanaume kambini mwa Arsenal na mwenzake Jonas Eidevall wa kikosi cha wanawake, wametia saini...

Arteta akiri hajakuwa akimtendea Nketiah haki kwa kumlisha benchi kambini mwa Arsenal

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Mikel Arteta amekiri kuwa “hajakuwa akimtendea haki” fowadi Eddie Nketiah baada ya chipukizi huyo raia wa...

Arsenal kwenye mizani

Na MASHIRIKA FATAKI zitalipuka na nyasi kuumia leo ugani Goodison Park wakati Everton watashuka dimbani kuvaana na Arsenal katika...

Arsenal wacharaza Norwich City na kupunguzia kocha Arteta presha ya kutimuliwa

Na MASHIRIKA ARSENAL walimpunguzia kocha Mikel Arteta presha ya kupigwa kalamu baada ya kupepeta Norwich City 1-0 ugani Emirates na...

ARTETA: Ana wiki sita tu!

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal yuko chini ya shinikizo baada ya wakuu wa klabu hiyo kumpa muda wa wiki...

Mashabiki wataka kocha Mikel Arteta apigwe kalamu baada ya Arsenal kuchapwa kirafiki

Na MASHIRIKA MASHABIKI wa Arsenal walibeba mabango ya kushinikiza kocha Mikel Arteta kutimuliwa baada ya kikosi hicho kupokezwa kichapo...

Arsenal kuagana rasmi na wachezaji tisa mwishoni mwa Juni 2021

Na MASHIRIKA ARSENAL wamethibitisha kwamba wataagana rasmi na wanasoka tisa ambao mikataba yao inatamatika mwishoni mwa Juni...

Hii ni aibu! Kocha Arteta achemka baada ya kichapo cha Liverpool

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal alisema “haikubaliki kabisa” mchezo ambao timu yake ilionyesha...

Mikakati na mipango yangu kambini mwa Arsenal itaanza kuzaa matunda hivi karibuni – Arteta

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema mipango na mikakati yake ya muda mrefu kambini mwa Arsenal itaanza kuzaa matunda ya kuridhisha...

Arsenal waambulia sare ya 1-1 dhidi ya Southampton ligini

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema kwamba sare ya 1-1 iliyosajiliwa na kikosi chake dhidi ya Southampton katika mechi ya Ligi Kuu...

KICHAPO EMIRATES: Arteta ajiinamia chini kwa aibu

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema kwamba hana hofu yoyote kwamba atatimuliwa na Arsenal licha ya kikosi hicho kuweka rekodi ya...