Ramadhani inatuumiza, wauza miraa sasa walia

NA KALUME KAZUNGU WAFANYABIASHARA wa miraa, Kaunti ya Lamu wamelalamikia kudidimia kwa biashara hiyo tangu Mwezi Mtukufu wa Ramadhan...

Agizo la Joho kuhusu miraa lapingwa vikali

Na WACHIRA MWANGI SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa, italazimika kutafuta pesa kwingine baada ya Gavana Hassan Joho kuagiza kuwa magari ya...

Ushuru wa miraa, muguka kupanda

Na MAUREEN ONGALA MADIWANI wa Kaunti ya Kilifi wamepitisha hoja ya kuitaka serikali ya gatuzi hilo kuongeze ushuru wa miraa na...

Hofu Ethiopia ikianza kuuza miraa Somalia

Na DAVID MUCHUI WAKUZAJI miraa nchini wameeleza wasiwasi kwamba huenda wakapoteza soko la Somalia kabisa, baada ya Ethiopia kuanza...

Wakuzaji miraa walia Somalia ikizuia ndege yenye tani 11 kutua

Na David Muchui WAKULIMA wa miraa wamelalamika vikali baada ya ndege nyingine iliyobeba tani 11 za zao hilo kukatazwa kutua Somalia kwa...

Visa vya akina mama kulipwa miraa mabinti wakilala na wazee vyaripotiwa Lamu

Na KALUME KAZUNGU BAADHI ya akina mama kwenye vijiji vingi vya Waboni, Kaunti ya Lamu wamelaumiwa kwa kushawishika kulipwa miraa na...

CORONA: Biashara ya miraa yapigwa marufuku Lamu kuzuia mikusanyiko

Na KALUME KAZUNGU WARAIBU wa miraa Kaunti ya Lamu wanahangika kwa kukosa bidhaa hiyo siku moja baada ya serikali kupiga marufuku...

CORONA: Wauzaji miraa wakemea marufuku

Na DAVID MUCHUI WAFANYABIASHARA wa miraa wameelezea wasiwasi wao kuhusiana na kusitishwa kwa biashara ya miraa eneo hilo huku...

Hoja ya kuzima uuzaji muguka yaibua maoni mseto

Na KALUME KAZUNGU WATAFUNAJI muguka Kaunti ya Lamu watalazimika kusafiri hadi nje ya eneo hilo ili kutafuta bidhaa hiyo, endapo hoja ya...

Wadau kuandaa kikao kutatua migogoro kuhusu ukuzaji miraa

Na DAVID MUCHUI MASHIRIKA mbalimbali ya serikali yamepanga kukutana na washikadau wengine kushughulikia masuala tatanishi yanayolemaza...

Jopo lasaka soko la miraa Djibouti na Msumbiji

DAVID MUCHUI na GITONGA MARETE JOPOKAZI lililobuniwa kutekeleza mapendekezo ya ripoti kuhusu jinsi ya kuboresha soko la miraa sasa...

Waziri alalamikia ongezeko la baa na ulaji muguka

Na GEORGE MUNENE WAZIRI wa Afya Sicily Kariuki amelalamikia ongezeko la idadi ya baa katika Kaunti ya Embu na kuitaka serikali ya kaunti...