Wazozana kuhusu ufanikishaji miradi

  Na MAUREEN ONGALA VIONGOZI wa kisiasa katika Kaunti ya Kilifi wameanza kuzozana kuhusu ni nani alishawishi serikali...

Mabilioni ya miradi ya serikali ndiyo ‘hutafunwa’ zaidi – Ripoti

Na PETER MBURU MIRADI inayofadhiliwa na fedha za walipa ushuru ndiyo inayotafunwa zaidi na maafisa fisadi serikalini, ripoti ya Mkaguzi...

Ruto ajinadi kwa miradi Uhuru akikwama Ikulu

Na VALENTINE OBARA NAIBU Rais William Ruto kwa wiki moja sasa ameonekana kuanza kujitokeza tena kuendeleza mtindo wa kupokea makundi ya...

Munya asuta viongozi kwa kuzindua miradi hewa

Na DAVID MUCHUI WAZIRI wa Kilimo, Bw Peter Munya amelaumu viongozi wakuu serikalini ambao wamekuwa wakianzisha miradi mipya kila mara...

BIDIIBUILD: Programu ya kurahisisha ufuatiliaji wa jinsi miradi ya ujenzi inavyoendelea

Na MAGDALENE WANJA KUFUATILIA jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea huwa kibarua kigumu wakati mradi uko katika sehemu ya mbali na alipo...

Miradi ya Daniel Moi

Na CHARLES WASONGA RAIS mstaafu Daniel Moi ambaye amefariki mapema Jumanne, wakati wa uhai wake alianzisha miradi mbalimbali ambayo...

Wataka serikali iboreshe utaratibu wa kuwafidia wenye vipande vya ardhi chini ya miradi ya serikali

Na MAGDALENE WANJA WAMILIKI wa vipande vya ardhi ambao wameathirika na miradi ya serikali watalazimika kungoja kwa muda mrefu iwapo...

Rais Kenyatta akagua miradi ya maendeleo Pwani

Na CHARLES WASONGA na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta amefanya ziara ya shughuli nyingi huku akikagua miradi ya maendeleo katika sehemu...

Waititu akagua miradi ya maendeleo Wangige na Kikuyu

Na SIMON CIURI na MARY WANGARI IMEKUWA ni kazi kama kawaida kwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu ambapo Jumamosi amekagua miradi kadha...

Miradi hewa yapunguza umaarufu wa Ruto

Na RUTH MBULA UMAARUFU wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Kisii umeanza kushuka, kutokana na miradi iliyokwama na ahadi za...

Miradi iliyokwama yageuka silaha dhidi ya Ruto

Na WAANDISHI WETU KUKWAMA au kujivuta kwa utekelezaji wa miradi iliyozinduliwa na Naibu Rais William Ruto mwaka 2018 katika kaunti...

Wanasiasa wanaozindua miradi hewa wakaangwa mitandaoni

NA PETER MBURU WAKENYA mitandaoni wamewakaanga bila mafuta baadhi ya wanasiasa ambao wamekuwa na hulka ya kuzindua miradi isiyo na mashiko...